Dkt. Wilbroad Slaa: Viongozi wakubwa serikalini na CCM wapatao 38 wamenipigia kuniunga mkono katika kupinga uuzwaji wa bandari za Tanganyika

Hana lolote huyu msaliti! Kutafuta sifa za kijinga tu! Ukweli utabaki kwamba pale bandarini lazima tupate mwekezaji na halmashauri kuu ya CCM imeshaidhinisha hill!
 
Mzee aache unafiki, awataje live live.

ningekuwa mimi ningewataja ili wananchi wajue namna gani viongozi ni wanafiki na watetezi wa matimbo yao.
Wanafiki wenzake labda waliolambishwa asali na Magufuli
 
Ingawa hata wewe ulikuwa kama yeye enzi za Jiwe lakini huyu bwana hakutarajiwa kuwa mtu wa hovyo kiasi hiki.

Kumbe Maslahi yanageuza malaika kuwa mashetani😆
Hata tundu lisu aliyeanzisha sera ya kupinga kila kitu sasa anamkubali mwamba. Ebu fikiria jambo hilo!
Jiwe alikuwa ligi nyingine kabisa, we acha mchezo.
 
Pascal nawewe usiwe mshamba. Kwa hiyo kiongozi anayejua fika simu yake iko tapped atawasiliana kwa simu hiyo hiyo?

Wewe kweli ndio mtoto wa retired SSO? Mbona hufananii?
Duh...!, laiti ungelijua, sio tuu ni mtoto wa Mzee Mayalla, bali pia ni mtoto wa a silent heroine fulani, Tribute to Silent Heroes!. Hongera “Idara” Kuhudumia Wastaafu Wake Till Death!”. Jee Huu Sio Ubaguzi?. Why Only Some are Cared to Death but not All?!

Angalia tarehe ya bandiko hili, Security alert kwa Serikali yetu: Tuwe makini sana na Marekani, kuna kitu kinapangwa halafu wajifanye walionya kabla. Je, wanapanga kutu-Libya? angalia hoja zake, kisha angalia ni muda gani ulipita toka onyo hili hadi utekelezaji wake?.

Au angalia tarehe ya bandiko hili, US/EU Walimtoa Saadam, Ghadafi na Mugabe? Je, wanapanga kumtoa Rais Magufuli madarakani? Watanzania wazalendo tutakubali? kisha angalia ni muda gani ulipita kabla watu hawajaingia kazini?.

Wengi si mnasubiria mkijua 2025 ni Mama, angalia akina sisi tunasema nini na tulisema lini! Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke
P
 
We mayala una mikwara sana. Hizo zote nilizisa ndio maana nimeshangaa comment yako.😆😆
 
Kwa hiyo 2025 sio Samia?😆😆😆
 
Hili suala la Bandari si kuchafua kete ya mama kuelekea 2025, bali linaweza ikawa entry poiti ya kulisambaratisha ngege hili (CCM) la wapigaji rasmi.

Mwenyezi Mungu huwa ana mipango yake, tuliiomba korona ikatufanyia yake au mmesahau ndugu zangu. Maombi ni muhimu sana hasa kwa wakati huu ili Bandari yetu isiporwe na magabacholi.
 
Mmh
 
Hao wananchi wa kawaida unaowasema ni wapi, wapo ambao hata ukiwauliza nguo uliyovaa imetokea wapi hajui sana sana atakwambia dukani, sasa na huyo mwananchi ni kutegemea aseme chochote kuhusu bandari? Mwingine anaweza kukujibu bandari hainihusu.
True thus tunasema mafisadi na wanufaika wa bandari ndio upiga kelele, wanasiasa upiga kelele kwa lengo la kuwini uchaguzi kwa kuwaaminisha hawa wananchi wafata upepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…