Pre GE2025 Dkt. Willibrod Slaa aachiwa huru, DPP hana nia ya kuendelea na kesi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Dah akitoka hapo adabu unarudi home unaambiwa houseboy alikuwa analala chumbani kwako
Kuwa na adabu basi, Dr Slaa ni mzee kuliko baba yako, kama ana mke ni mzee kuliko mama yako. Fikiria kabla y kudhalilisha watu wazima kama wazazi wako.
Ila kama ni kawaida house boy kuingia kulala chumbani baba yako asipokuwepo basi endelea na hiyo tabia yako.
 
Hakuwahi kusota hivi akiwa active na siasa za vyama enzi za JK,kasoteshwa na the so called 4R za mwanademokrasia.
 
Kwa hiyo lengo lao lilikuwa ni kumnyanyasa tu na si kingine.

Typical banana republic shenanigans.
 
Hapo hapo unataka watu wawe wakali kwa serikali ili kuiondoa madarakani.hapo hapo unataka watu waonewe ili washike adabu watulie.
Slaa ni mhuni tuu kama akina Lissu!
 
Chiemu chichiem chichiem nawaita mara kumi,haya mambo hayaaa,mjitafakari ma mjichukulie hatua kabla hatua za kulazimishwa kuzichukua.
 
Leo mkewe atamkoma usiku yale mambo

Ana usongo nayo hadi basi
atamkoma kwa mashuzi na kukoroma labda, unaona kabisa anatembea upande kama fiat iliyokata center bolt.

Hapo hakuna shughuli tena, ni mwendo wa kuiwekea mkono tu.
 
Lissu ndio alisema uchaguzi ukiisha ataachiwa eti kakamatwa ili Mbowe ashinde.

Huyu mzee laaana ya kusema Mbowe ni gaidi na Lissu kapigwa risasi na chadema ndio vinamtafuna.
Ndiyo sababu ya kuwekwa kwake mahabusu?!
 
Muda wowote wanamdakata na kumshitaki kwa same allegation.
 
Fisiem bana wanadai wanachama mil 12 lakini anawatoa kamasi dr slaa mmoja yamebaki na mbinu za kishamba yaani msaada wa polisi na mahakama mae!
 
Kwa hiyo lengo lao lilikuwa ni kumnyanyasa tu na si kingine.

Typical banana republic shenanigans.
Yaani acha tu! Wanatumia vyombo vya dola na nguvu za kiutendaji kunyanyasa tu
Kuna kautaratibu kao, kwanza, wanakamata Ijumaa ili mtu alale hadi Jumatatu.
Pili, kama DPP hana nia ya kuendelea na kesi alimkamata kwa kosa gani?

Ndio maana tunasema tukae chini tutengeneze Katiba itakaondoa huu ujinga na upuuzi.
Kwa nchi za wenzetu hapa Dr angefungua kesi ya kunyang'anywa Uhuru wake na angelipwa.

Banana Republic!
 
Dah akitoka hapo adabu unarudi home unaambiwa houseboy alikuwa analala chumbani kwako
huyo mzee huko jela na kamatakamata ya mapolisi ccm sio mgeni ila kwa kauli yako ya woga uwenda ungekuwa wewe ungetoka na mimba wahuni wangegawana yas kwa zamu
 
Mwanasiasa mkongwe, Dk. Wilbroad Slaa. Dk Slaa ameachiwa huru kwakuwa jamhuri haina nia ya kuendelea na kesi hiyo hivyo amepata dhamana yuko huru.🥺🥺🥺😒😒
Hajapata dhamana , DPP kaondoa kesi mahakamani kwa kutumia kifungu cha "nole procequi".
DPP amekuwa anamamlaka makubwa ambayo inaonekana anatumika vibaya na wanasiasa .
Ifike mahala dpp adhibitiwe kifungu hicho kifanyiwe marekebisho ili pale atakapoamua kuondoa kesi mahakamani awe analipa fidia.
Manake inaonekana kama anafanya utoto na usumbufu kwa watu
 
Sasa aache mambo ya uzushi na ajue uzee umeshawadia.Yaani unasema una taarifa za ikulu,halafu unategemea wenye ikulu wakuache.Vitu vingine ni bora tuhakokishe tuna akili kabla ya kudanganya.
ila ujumbe wake mmeupata na pengine alijua watamkamata na hawatamfanya kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…