Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Kuwa na adabu basi, Dr Slaa ni mzee kuliko baba yako, kama ana mke ni mzee kuliko mama yako. Fikiria kabla y kudhalilisha watu wazima kama wazazi wako.Dah akitoka hapo adabu unarudi home unaambiwa houseboy alikuwa analala chumbani kwako
Ila kama ni kawaida house boy kuingia kulala chumbani baba yako asipokuwepo basi endelea na hiyo tabia yako.