GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mkurugenzi wa uchaguzi katika tume ya uchaguzi ameonya wagombea wote wanaotoa lugha za uchochezi, matusi na vitisho kwamba watafutwa na kuondolewa kwenye uchaguzi.
Dr Mahera amesema Tume yake haitavumilia wagombea waliopungukiwa maadili, heshima na ustaarabu.
Source Eatv habari
Maendeleo hayana vyama!
View attachment 1591389
Wapi wamemtaja huyo Lisu?
Alishatoa muongozo kuwa wagombea wazungumzeie tu baranara, huduma za afya, maji, elimu na mambo kama hayo! Hii nayo ni Ph. D! Very primitive! Uhuru kwanza. Mambo mengine yatafuata baada ya hapo.
Wafutwe tu, pamoja na chama chao. Tuone mabeberu watapenyea wapi.Mkurugenzi wa uchaguzi katika tume ya uchaguzi ameonya wagombea wote wanaotoa lugha za uchochezi, matusi na vitisho kwamba watafutwa na kuondolewa kwenye uchaguzi.
Dr Mahera amesema Tume yake haitavumilia wagombea waliopungukiwa maadili, heshima na ustaarabu.
Source Eatv habari
Maendeleo hayana vyama!
View attachment 1591389
Mtafanya nini hata mkifungiwa mpaka 28 oct. Mwenye chama chake kakubali adhabu ya Lissu, wewe ni nani ambapo hata Ufipa huna kadi kazi yako kuchangia tu mwenzako akanywe faru John wake. Rubbish.Mahera sasa anataka kupanda watu vichwani amejaribu siku saba akaona zimetiki na sasa anapanga kuongeza ila matokeo yake hayatakuwa mazuri hata kidogo
Mahera kapania kutoa ushindi wa 99% kama katika chaguzi za serikali za mitaa.This time around sijui itakuwaje
Heche yuko vizuri sanaAngekua heche
Ni kweli ni mgombea kama walivyo wengine, ila ukitaka kuuona upekee wake waulize Tume, CCM, Polisi, na wengineo ni nani anawasababisha wasilale kipindi hiki?
Mbowe anaakili kubwa ndiye amevuta subira wakati wa Bwana utimieI wish mwenyekiti Wa chadema angekuwa Lema au Lisu,mbowe anatupeleka kimdebwedo sana .
Mkurugenzi wa uchaguzi katika Tume ya Uchaguzi ameonya wagombea wote wanaotoa lugha za uchochezi, matusi na vitisho kwamba watafutwa na kuondolewa kwenye uchaguzi.
Dkt. Mahera amesema Tume yake haitavumilia wagombea waliopungukiwa maadili, heshima na ustaarabu.
Chanzo: Eatv habari
Maendeleo hayana vyama!
View attachment 1591389
Heche siyo mzushi?Heche yuko vizuri sana