Dkt. Yahaya Nawanda apandishwa Kizimbani kwa Tuhuma za Ulawiti, aachiwa kwa dhamana

Usiwe na haraka subiria kesi ianze. Yote hayo yatajibiwa ndio maana kapelekwa mahakamani kesi isikilizwe na haki ipatikane.
 
Una uhakika na unalotuhumu?
Chuki inakusumbua; kutuhumiwa sio lazima mtu awe Ametenda kosa kweli. Mahakama Itapima na kuamua kwa mujibu wa ushahidi
 
Mbona walawiti wengine Huwa hawaachiwi?
 
Hapo kwenye ku prove kama kweli alilawitiwa ndipo penye mtihani. Swali ni Je, baada ya kulawitiwa alikwenda hospital na kupimwa?

Je, kuna ushahidi wa manii za mtuhumiwa kwenye tigo ya binti?

Maswali ni mengi sana.
Alikwenda hospitali ndiyo. Shida itakuwa nani sasa kafanya hivyo? Maana tuhuma tu siyo ushahidi; ushadi ni kuithibitishia mahakama kwamba aliyefanya hivyo ni huyu mkuu. Nani aliona? Kama aliona ataonyeshaje alivyoona, na unajua mawakili walivyo vibaya kwenye cross-examination, wanakutoa kwenye reli hata kama una nondo. Yaani, ngoja tusubiri maana nilisikia kama upelelezi umekamilika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…