Dkt. Yahaya Nawanda apandishwa Kizimbani kwa Tuhuma za Ulawiti, aachiwa kwa dhamana

Mwanamke huenda atawataja vigogo wengine wenye tabia hiyo. Ila alisema anajofia maisha yake, hasa kupambana na wasiojulikana.
 
Kwa sheria khasa ilivyo Nawanda hastahiki dhamana na ana makosa matatu makubwa sana.

1. Kulawiti

2. Kutaka kupindisha sheria isichukue mkondo wake yaani "Perverting the course of justice" kwa kutoa fedha ili kufuta kesi.

3. Matumizi mabaya ya ofisi kama mtumishi wa serikali na kukiuka maadili ya uongozi.

Kesi hii ikifanyika kwa ufanisi Tanzania itakuwa imepiga hatua kubwa sana kifikra.
 
Mahakama ioneshe kwamba haki ianelekea kutendeka. Ila kwa yanayotikea TLS tunaoata shida sana kujua haki jinai zetu hazilingani na maneno ya bilionea ROstam Aziz yale ya " That one breakthrough phonecall" kutoka kwenye mhimili uliojichimbia chini zaidi bumbwini.
 
Ameshitakiwa kwa kosa moja tu la kulawiti.
 
Kama walichukuwa DNA na kesi ikafanya kihalali bila Samia kuingiza mkono wake RC atawekwa kwenye kona mbaya sana.
 
Aibu kwa familia,Phd kulawiti bila kilainishi
Nasikia Ni AL HAJ halafu anafunga mfungo wa ramadhani lkn pia ameshawahi kuonekana masjid.
Sijui mke na watoto wake wanajisikiaje. Vijana wake wa kiume wanajisemea kimoyo moyo, kumbe baba anapenda tigo? Hivi nanihii atakua na marinda kweli Kama baba alianza huu mchezo zamani?
 
Ni kweli, lakini kwa sheria, uwajibikaji na kufuata maadili ya uongozi, ana makosa hayo makubwa matatu.
Hayo mawili ameshaadhibiwa ndiyo maana yuko bench sasa hivi.
Kama ameshtakiwa kwa kosa moja tu la ulawiti basi kuna namna inachorwa ili achomoke. Au pengine hayo mengine yatafuata baadae? Kwa sababu hayo mengine yana ushahidi wa nguvu sana.
Si unaona hata mwenyewe hana wasi wasi muda wote anacheka na kutabasamu. Hiyo kesi imeshamalizwa 'kimila' kinachaoendelea hapo ni mazingaombwe tu mwisho wa siku anaonekana hana hatia.
 
Hii nchi sijui inaenda wapi mkuu wa mkoa anatuhumiwa kula washeli ya mwanafunzi, Mtwara mwalimu kala mvua thelathini kwa kuliwa washeli na mwanafunzi.!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…