Dkt. Yahaya Nawanda apandishwa Kizimbani kwa Tuhuma za Ulawiti, aachiwa kwa dhamana

Elimu ya kukariri haijamkomboa

Hata Kama MTU haujaenda shule Ila kupitia Quruan na bible imeandikwa kuwa HEKIMA ndo inashikilia utajiri , inashikilia na mafanikio.

Hivyo alibidi kujua Elimu ya darasani inaweza kukufikisha juu Ila kuendelea kubaki juu inahitajika Hekima .

PhD haijamsaidia chochote .

Ukiwa kiongozi unakuwa upo katika spotlight unatazamwa Sana so tabia Kama, uzinzi ,ulevi , wizi unabidi kuzicontrol Sana .

Lack of emotional intelligence
Being vulnerability is easy for those who are driven and not driver.
 
Hawa wanaccm ukiwasikiliza utaw

TOKA MAKTABA :

11 June 2024
Tazama hotuba ya Mwisho ya Dkt Yahaya Nawanda siku moja kabla ya uteuzi wake kutenguliwa, aliyoitoa kwa viongozi wa dini ambao ni wajumbe wa kamati ya amani wa mkoa wa simiyu.Alipokuwa akifungua semina ya kubadilisha na uzoefu na kujadili namna ya kuendesha kamati hizo baina ya wajumbe wa kamati ya amani ya mkoa wa Simiyu na mkoa wa Mwanza iliyofanyika Bariadi mjini jana June 10,2024.... mbele ya Askofu Bundala, Sheikh Twaha na viongozi wengine wazito wa imani ...
UTULIVU WA MOYO NA WA KIROHO WATAWALA HOTUBA YA MKUU WA MKOA

View: https://m.youtube.com/watch?v=OkAZSbuEB5I
 
Surah An-Nur (24:2)

Aya hii inaeleza adhabu kwa wale wanaopatikana na hatia ya uzinifu:

"Mzinifu mwanamke na mzinifu mwanaume, wapigeni kila mmoja wao bakora mia. Wala isiwashikeni huruma juu yao katika Dini ya Mwenyezi Mungu, ikiwa nyinyi mnaamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho. Na lishuhudie adhabu yao kundi la Waumini."
Takhbiiiiiirrrr
 
TOKA MAKTABA :

11 June 2024
Tazama hotuba ya Mwisho ya Dkt Yahaya Nawanda siku moja kabla ya uteuzi wake kutenguliwa, aliyoitoa kwa viongozi wa dini ambao ni wajumbe wa kamati ya amani wa mkoa wa simiyu.Alipokuwa akifungua semina ya kubadilisha na uzoefu na kujadili namna ya kuendesha kamati hizo baina ya wajumbe wa kamati ya amani ya mkoa wa Simiyu na mkoa wa Mwanza iliyofanyika Bariadi mjini jana June 10,2024.... mbele ya Askofu Bundala, Sheikh Twaha na viongozi wengine wazito wa imani ...
UTULIVU WA MOYO NA WA KIROHO WATAWALA HOTUBA YA MKUU WA MKOA

View: https://m.youtube.com/watch?v=OkAZSbuEB5I

😆😆😆
 
Mungu amtie Nguvu Mimi nimeshamsamehe Ila asiache kusali.
 
Wacha haki itendeke. Swali langu, Je, ikithibitika ni kweli Nawanda alimlawiti yule binti, zile pesa milioni 10 alizopewa binti atazirudisha au zitakuwa zake au??

Wanasheria mtusaidie hapa. Maana binti aliulizwa ulipewa kiasi gani na Nawanda. Akajibu, alipewa milioni 10 cash. Anazo na hajazitumia hata shilingi.
Nikisoma case law, hasa kesi zilizoamliwa na mahakama ya rufaa, hapa Tz, huwa naona ugumu hujitokeza, pamoja na uthibitisho kwamba X kabakwa/kulawitiwa, nani aliyefanya hivyo. Ngoma huwa ku'prove' na mahakama inataka itoe hukumu bila kuacha mashaka yoyote (bila favour wala fear). Sasa hapa...ngoja tusubiri itakuwaje.
 
Wacha haki itendeke. Swali langu, Je, ikithibitika ni kweli Nawanda alimlawiti yule binti, zile pesa milioni 10 alizopewa binti atazirudisha au zitakuwa zake au??

Wanasheria mtusaidie hapa. Maana binti aliulizwa ulipewa kiasi gani na Nawanda. Akajibu, alipewa milioni 10 cash. Anazo na hajazitumia hata shilingi.

Pesa imetolewa kwa nia mbaya ya kushawishi uvunjifu wa Sheria na kukiuka haki jinai.

Sidhani kama Kuna Sheria inampa Nawanda haki ya kuidai hiyo fedha, isipokuwa kitendo Cha kumpa fedha hiyo Binti kitatumika kama ushahidi saidizi kwamba alimlawiti.

Ninachokiona hapa, Nawanda atajitahidi kukataa kwamba hakumpa pesa, na pia binti ama anaweza kukaza kwamba alipewa Ili kuthibitisha kesi,ama anaweza kusema hakupewa Ili abaki nazo.
 
Back
Top Bottom