Do not give a permanent solution to a temporary problem. Kwa dunia ya sasa nakushauri usioe

Ukikua utaacha hata kuku wanakupita akili jomba na kadegree kako kakuunga unga Ukiwa jitu zima na kaakili kakitoto ni tatizo
 
Umeelewa kilichoandikwa au umekulupuka? Hakuna tunapopinga malezi mema ya mtoto chini ya uangalizi wa baba na mama ambacho tunapingana nacho na kinatufanya tuji-adjust kitaalamu ni zile content zilizopo kwenye ule mkataba wa ndoa
 
Jibu swali kwanza.
Premises ya swali lako haufanani na mada iliyopo mezani, so technically swali lako ni la kijinga.

Katika mjadalla ambao mada iliyopo mezani ni kuhusu uchaguzi wa 2025 then mtu anaibuka na hoja kuhusu mafuta ya Diddy na anataka ujibu.

Unajiuliza hiyo mada imefikaje na ina uhusiano gani na mada ambayo ipo mezani hakujibu.
 
Hatuoi kusolve problem mkuu, kama unaoa ili kusolve problem hata mimi nakushauri usioe
 
Huna akili

Nani amekuambia nyege ni temporary problem?

Umeandika pumba tupu

Kuna uwezekano wewe ni shoga

Kakojoe ulale
 
Wakati tunazidi kukataa ndoa, upande wa pili kuna watu wana enjoy ndoa zao na wengine wanataabika.
Walioweza waliwezaje? Na sisi wengine tunafelije.
Ikiwa imeandikwa ishi na mwanamke kwa akili, hivyo basi wenye akili tu ndo wataweza.
Mtoa mada, acha kubeza watu wanaokubali ndoa. Kama hupendi ndoa basi, toa sababu zako bila kuwaita wajinga ambao wanakubali ndoa. La sivyo utaonekana kama mtu aliyevurugwa.
 
Kutafuta pesa bila kua sehemu utulivu sidhani kama utafanya vizuri nachoamini mm tunapokua na mtu sahihi hata utafutaji unatafuta ukiwa ktk mood Safi lkn ukiwa na stress lazima uwe wrong.
Wasichofahamu watu ni kuwa, nitaiweka kwa lugha ya kigeni
1. Single men think they make money, but
2. Married men make more money than single men and
3. Married men with children make more money than just a married man with no child

Akili kumkichwa
 
Kudadeki kataa ndoa mna speed
 
Kuwa na mke sio guarantee kwamba atakuuguza siku ukiumwa hoi. Kuna ambao wamekimbiwa na wake zao sababu wameumwa. Mfano kaka yangu mimi, aliumwa mke akamkimbia tukawa tunauguza sisi. Ipo mifano mingi tu.
 
huku jf inasemekana wanawake ndio kipaumbele cha kutaka ndoa kuliko wanaume,,ila wabobezi wa kuanzisha mada za ndoa ni wanaume 🥲🥲akili kumkichwa.
 
Mwamba umeua!
Inshort wewe ni "kataa ndoa"
 
Tupe na hoja mkuu faida za ndoa, ukimkrash mwenzako
 
Siku utakayoumwa usiku na kukosa mtu wa kukupa msaada, ndio utajua umuhimu wa kuoa.

Sorry mleta maada sikukusudii wewe. Ila binafsi naona hizi maada zinaletwa na mashoga ili tuwaone wanawake ni wabaya.

Wanawake wema bado wapo.
Kwaiyo Yesu kristo hakuoa vip unaonaje?.Mapadri, Papa hajaoa ni Shoga angalia maneno yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…