Do not give a permanent solution to a temporary problem. Kwa dunia ya sasa nakushauri usioe

Okay, let's make this as short as possible.

Kwa nn unaoa? I mean, what problems do you think marriage will help you solve? List them down.

Are those problems permanent? Je hayo matatizo unayotegemea kuyatatua ukiwa na ndoa ni ya kudumu?

Only a desperate idiot gives a permanent solution to a temporary problem. Ni punguani au zwazwa pekee ndio anaelipa tatizo la muda mfupi solution ya kudumu.

Pussy? Kids? Cooked food? Vyote hivo unavipata kiurahisi kabisa kwenye dunia ya sikuhizi bila kutake risk ya kujifunga na litoto la mtu ambalo unaweza kuta ni professional slut.

Anyway, I promised to make this short. Kaa kijanja. Wenye ndoa wana watoto nje wewe unaenda kuoa ili upate watoto. Do not be an idiot, tafuta hela, watoto wako wakifikia umri sahihi unapewa waje waishi kifahari na wewe, usitafutie mwanamke na mpenzi wa mke wako hela.

Wako mtiifu,
Boyfriend wa mke wako na baba mzazi wa watoto unaowalea,
Teslarati.
Wengi wamelizwa sana, pussy unaweza kupata sehemu yeyote different varieties, ukiwa na kamoja ni shida sana.
 
Attachments

  • VID-20241006-WA0034.mp4
    7.8 MB
  • VID-20241006-WA0007.mp4
    8.3 MB
Okay, let's make this as short as possible.

Kwa nn unaoa? I mean, what problems do you think marriage will help you solve? List them down.

Are those problems permanent? Je hayo matatizo unayotegemea kuyatatua ukiwa na ndoa ni ya kudumu?

Only a desperate idiot gives a permanent solution to a temporary problem. Ni punguani au zwazwa pekee ndio anaelipa tatizo la muda mfupi solution ya kudumu.

Pussy? Kids? Cooked food? Vyote hivo unavipata kiurahisi kabisa kwenye dunia ya sikuhizi bila kutake risk ya kujifunga na litoto la mtu ambalo unaweza kuta ni professional slut.

Anyway, I promised to make this short. Kaa kijanja. Wenye ndoa wana watoto nje wewe unaenda kuoa ili upate watoto. Do not be an idiot, tafuta hela, watoto wako wakifikia umri sahihi unapewa waje waishi kifahari na wewe, usitafutie mwanamke na mpenzi wa mke wako hela.

Wako mtiifu,
Boyfriend wa mke wako na baba mzazi wa watoto unaowalea,
Teslarati.
Una tatizo kubwa la ethics.
 
Mi lazima nioe nipate sehemu ya kupunguzia ngunga
 
Kwann kila mtu asishinde mechi zake kama umeamua kutokuoa Kwa sababu zako binafs ni sawa na vile vile aliyeamua kuoa ni yeye usiwapangie maisha watu.
 
Back
Top Bottom