Kijukuu cha ngoyayi
JF-Expert Member
- Oct 27, 2018
- 3,358
- 6,667
Kuna mambo kadhaa yanayopelekea uvumilivu kwenye ndoa hata kama wanandoa hawaelewani;Sasa ikifikia hiyo hatua si watu waachane?. Mimi sielewi watu kwanini waishi nyumba moja wakati hawaeleweni. Hakuna sheria inalazimisha watu waishi pamoja kama hawawezi.
Hiki ni Kizazi cha nyoka ujue. Ref Biblia. Math. 12:34"..Enyi uzao wa nyoka! Mnawezaje kunena mambo mema, wakati ninyi ni waovu? Kwa maana kinywa cha mtu huyanena yale yaliyoujaza moyo wake".Sijawahi kusikia msenge na basha wake wameuana, kisa kugombania Mali, au kunyimana sex.
Nashangaa hapa wanahusishwa. Lol
Hapo sasa.Hiki ni Kizazi cha nyoka ujue. Ref Biblia. Math. 12:34"..Enyi uzao wa nyoka! Mnawezaje kunena mambo mema, wakati ninyi ni waovu? Kwa maana kinywa cha mtu huyanena yale yaliyoujaza moyo wake".
Maisha ya kuogopa jamii itakuonaje usawa huu? Then ukipatwa na jambo hiyo jamii inakulaumu tena wee mwenyewe? LolKuna mambo kadhaa yanayopelekea uvumilivu kwenye ndoa hata kama wanandoa hawaelewani;
Mosi, kutunza viapo; pili, mtazamo wa kijamii - tukiachana jamii itatuonaje; tatu, watoto - tukiachana watoto watateseka; nne, hofu ya maisha - nitaanzaje maisha mapya? Nitaolewa/oa tena? Tano, kweli hamuelewani lakini moyoni bado unampenda hasa kwa wanawake, nk.
cocastic, Lamomy, ShesRise_1 ni wazamivu wa hizi mambo.
Kunyimwa K mbona ni very common practice kwenye ndoa nyingi kiongozi? Huyu amekutana tu na siku zake zimefika but ni michezo iliyoenea sana kwenye ndoa.Sasa anaanzaje kumnyima mwenza wake k? Si bora asingeolewa, hivi ni vifo vya kujitakia
Mkuu likikukuta tukio kama hilo; hiyo ni Fursa kwako ujiulize sana ni kitu gani hicho Mke wako anakisotea sana kukipata kutoka kwako ilhali waote mpo ndani, halafu kumbe anaweza kukipata kwa msela tena vichakani nyuma ya nyumba yako???Kuna wanaume wanasota sn kwny kupata nyapu na ni mke kbs wapo wote ndani halafu baadae unakuja kumkuta mke kuna msela anaula wima wima tu tena kwny ka kichaka ka nyuma ya nyumba usipoua una mungu
Ndio hivyo na ni sababu muhimu kweli kweli! Jamii Itanionaje nikiachika? Aibu!Maisha ya kuogopa jamii itakuonaje usawa huu? Then ukipatwa na jambo hiyo jamii inakulaumu tena wee mwenyewe? Lol
Ni kwa hao hao, sio mie.Ndio hivyo na ni sababu muhimu kweli kweli! Jamii Itanionaje nikiachika? Aibu!
Yeah. Usifanye jambo lako eti ili kuiridhisha, kuifurahisha au kwa shinikizo kutoka kwa Jamii. Jamii ni very dynamic na diverse. Ukifanya hili, Jamii itafanya lile. Halafu mwisho wa siku Jamii hiyo-hiyo itakuzomea.Maisha ya kuogopa jamii itakuonaje usawa huu? Then ukipatwa na jambo hiyo jamii inakulaumu tena wee mwenyewe? Lol
Si ndiooo!!Yeah. Usifanye jambo lako eti ili kuiridhisha, kuifurahisha au kwa shinikizo kutoka kwa Jamii. Jamii ni very dynamic na diverse. Ukifanya hili, Jamii itafanya lile. Halafu mwisho wa siku Jamii hiyo-hiyo itakuzomea.
Mbona umejitetea haraka haraka? By the way nimezungumzia kwa ujumla hali ya kijamii ilivyo. Sijalenga specific person.Ni kwa hao hao, sio mie.
πππMbona umejitetea haraka haraka? By the way nimezungumzia kwa ujumla hali ya kijamii ilivyo. Sijalenga specific person.
Inakuwa ni sababu muhimu kwa wale wenye akili kisoda. Kwa akili ya kawaida ingefaa wenye ndoa wajisemee nafsini mwao kwamba Niliingia humu Ndoani mm mwenyewe kwa hiari yangu na sio kwa shinikizo la Jamii. Kwa hiyo Jamii inione kama itakavyoniona potelea mbali. Msimamo wangu utabaki palepaleNdio hivyo na ni sababu muhimu kweli kweli! Jamii Itanionaje nikiachika? Aibu!
Hawa vijana wa jen'zii wanakamsemo kao eti "wanakuchora".Si ndiooo!!
Watajichora wao, na aibu wataona wao.Hawa vijana wa jen'zii wanakamsemo kao eti "wanakuchora".
Jamii ni aspect mojawapo tu. Rejea post #263 nimetaja sababu 5 kwa uchache!Yeah. Usifanye jambo lako eti ili kuiridhisha, kuifurahisha au kwa shinikizo kutoka kwa Jamii. Jamii ni very dynamic na diverse. Ukifanya hili, Jamii itafanya lile. Halafu mwisho wa siku Jamii hiyo-hiyo itakuzomea.
Hapo umeongea kiushabiki zaidi kuliko uhalisia ulioko ambao probably kwako sio issue ila ni tatizo kuu kwa jamii pana.Watajichora wao, na aibu wataona wao.