Labyrinth 84
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 1,514
- 4,531
Kabla ya ndoa unapima akili unakutwa mzima.Mgonjwa wa akili, kuna umuhimu wa kupimana akili ukiacha UKIMWI kabla ya ndoa
Vitimbwi vya ndoa vinafanya watu wanapata magonjwa ya akili.
Kabla ya ndoa unapima akili unakutwa mzima.Mgonjwa wa akili, kuna umuhimu wa kupimana akili ukiacha UKIMWI kabla ya ndoa
Ilikuwa hivi dogo alivyokisimulia kijiweni ndipo wenzie wakamchoma wakamstua mzee ukaandaliwa mtego ndipo akanaswa yule dogo na ushahidi kabisa yupo na yule mama,,,alivyobanwa aisee alisimulia vitu vya hatari na vya aibu mno kuanzia kupangiwa chumba na ukumbi na kuwekewa samani zote,,, kiufupi yule mama akimuhudumia yule dogo kama mwanaume anavyohudumia mkewe halafu mbaya zaidi pesa zenyewe ni za Mkopo...maamuzi aliyokayafanya alimuandikia mkewe talaka tu ila yule mama hakuchukua miezi 2 akafariki aliumwa na nyoka na yule dogo nae aligongwa na pikipiki akafarikiMalizia story
Kuna mambo yanaumiza mno na kila mmoja ana namna yake anavyoweza kulihimili jambo...Ndio maana unakuta mama anafariki watoto wake wakiambiwa taarifa Kuna mwingine anaweza kuzimia mwingine akalia sana na mwingine asilie kabisa tafsiri yake kila mmoja ana namna ya kulihimili jambo....Enhe! Hivi unadhani mzee akigundua huo Ufidhuli alochezewa atamtendaje huyo Mke? Ref Math. 24:51. ..... atamkata vipande viwili, na kumwekea fungu lake pamoja na wanafiki; ndiko kutakuwako kilio na kusaga meno.
Inasikitisha na kufikirisha sana.
Kama ni tendo tu basi kafa kizembe sanaHuenda ni unyumba
Sasa anaanzaje kumnyima mwenza wake k? Si bora asingeolewa, hivi ni vifo vya kujitakiaHii itakuwa kunyimana unyumba au wivu wa K. Dodoma hawana shida ya ardhi.
TAHARUKI imetanda katika Mtaa wa Mailimbili Darajani, jijini Dodoma, kufuatia tukio la mwanamume anayedaiwa kumuua mkewe kwa kumchoma na kitu chenye ncha kali shingoni.
Marehemu ametambuliwa kwa jina la Shukran Riziki (30) na mtuhumiwa ni Khatibu Mfaume, anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 39.
Kwa mujibu wa taarifa za awali, tukio hilo linadaiwa kutokea jana, huku wanandoa hao wakitajwa kuwa na historia ya kugombana mara kwa mara.
Baada ya tukio hilo, Mfaume anadaiwa kwenda kunywa pombe kabla ya kurejea nyumbani na kulala karibu na mwili wa mkewe.
Taarifa zaidi zinaeleza kuwa asubuhi ya leo, Oktoba 9,2026 mtuhumiwa alikwenda kujisalimisha katika kituo cha polisi cha kata kabla ya kuhamishiwa Kituo Kikuu cha Polisi Dodoma.
Tayari Jeshi la Polisi limefika katika eneo la tukio kwa ajili ya kuuchukua mwili wa marehemu na kuendelea na taratibu za uchunguzi.
Hata hivyo, maelezo hayo ni ya awali na sababu kamili za tukio hilo bado hazijathibitishwa rasmi.
Soma Pia: Mume adaiwa kumuua mkewe kwa risasi huko Bunju, Dar es Salaam
Wanawake wa leo wasikie tu. Tena wanaitumia kama silaha kukomoa. Ingawa wakati mwingine wanakuwa sahihi hasa akihisi mumewe "hajatulia" analinda afya yake ila mwanaume haelewi then migogoro hatimaye mauwaji.Sasa anaanzaje kumnyima mwenza wake k? Si bora asingeolewa, hivi ni vifo vya kujitakia
Kushindwa kwa mapadri, wachungaji, mashekhe na viongozi wa dini kwa ujumla ndio sababu ya hali hii iliyopo nchini..Wachungaji, Mapadri, Masheikh na Waganga wafanye matambiko ya kitaifa
Sasa ikifikia hiyo hatua si watu waachane?. Mimi sielewi watu kwanini waishi nyumba moja wakati hawaeleweni. Hakuna sheria inalazimisha watu waishi pamoja kama hawawezi.Wanawake wa leo wasikie tu. Tena wanaitumia kama silaha kukomoa. Ingawa wakati mwingine wanakuwa sahihi hasa akihisi mumewe "hajatulia" analinda afya yake ila mwanaume haelewi then migogoro hatimaye mauwaji.
Je ni mchaga tena?Ni masuala tena ya viwanja na hati🤔???
Dah! Inasikitisha sana
Sasa si umuache mkuu?.Kwani kuna mtu analazimishwa kuishi na mtu kama wameshindwana?. Yaani unaua mtu kisa kakunyima sex,si uchizi huo.Kama huwezi kutoa mbususu wadada usiolewe inaumiza sana mke wako anakunyima mbususu live na unaiona kabisaaa
Kwahiyo ukishaua ukaenda jela, ndo umefanikiwa au?Sasa anaanzaje kumnyima mwenza wake k? Si bora asingeolewa, hivi ni vifo vya kujitakia