Na dada yake akifikiwa atakuwa mkali sana.Naona kuna wapuuzi humu wapo proud kabisa kuua wanawake,acheni ujinga,jua hata dada yako ipo siku atafikiwa
Mgonjwa wa akili, kuna umuhimu wa kupimana akili ukiacha UKIMWI kabla ya ndoa na kuwe na marudio kila baada ya mwaka.Yani huyo lunatic kamuua then akaanza kufanya nae mapenzi,,,, hao ni wamarangu
Huyu na yule wote ni wale wale tu.Hii case ni tofauti mkuu, ameuwa na kumlala unadhani huyo yuko sawa kweli, huyu ni mgonjwa, put hasira aside
AmeeenHii miezi Wanaume wenzangu hebu tuchukue mapumziko twende hata hapo Forodhani tukale urojo, ili kama kuna pepo linatuandama la kuua wenza wetu lishindwe na lilegee
It doesn't make sense to kill your beloved wife whom you promised, you will protect to death
Uko wapi ule upendo wa mwanzoni wakati ambapo majina ya honey, sweetheart, nyonga mkalia ini yalikuwa hayakauki midomoni mwetu?
Haijalishi amekukosea kwa kiwango gani, hastahili kulipwa kifo.
Wanandoa Mungu atusaidie, huyu shetani anayetunyemelea kwa kuua wenza wetu ashindwe na alegee
Familia na malezi ndipo palipo na shida hapo..!!Kuna kitu cha kufanya kuwaandaa vijana toka msingi huko kwa ajili ya maisha ya familia - emotional intelligence, familia na malezi, wajibu na haki katika ndoa, etc ni maandalizi muhimu sana hasa hawa Gen Z na watakaofuata. Yaani kuna vijana wanaingia kwenye ndoa bila hata kujua kwanini wanaoana!
Hiyo ni njia(Mtindo ) ya kizamani sana - mwaka 47. Mwanaume unatakiwa au unashauriwa kuonesha umahiri katika kutumia akili zaidi kuliko kutenda kwa mihemuko au kukurupuka. Kumbuka Hasira Hasara.Mwanamke akinyenyua mdomo ni vitasa tu mpaka wanyooke.
Afya ya akili ni janga kubwa sanaHivi nini haswaa hadi inafikia hatua hii ya kuuana?? Em nisaidie kwani?
JF machizi tunao wengi na ndo hao wa mtaani wauaji..!!Kuna mmoja ka comment huko juu et here we go anajiona mwamba kumbe jinga la mwisho na mihemko ipo juu kuliko ufanisi wa akili
Sikujua kama watu wengi wana tatizo la afya ya akili
binti kiziwi
Binti wa zamani
Strong ladg
Buyuni Kwetu
Oneni hiki kichaa kinachoitaji chanjo
Tunafanya je wanaume wanashindana kutumaliza💔
Hali hii inafurahiwa na wanaume hata ukipitia comment hawa watu wamechanganyikiwa 🙌🏼🙌🏼
Hii sio akili ya kawaida, kama jamaa hana matatizo ya akili, au kapewa masharti na mganga!!!Yani huyo lunatic kamuua then akaanza kufanya nae mapenzi,,,, hao ni wamarangu
Mlevi tu ndo maana marehemu alilinyima tamHii sio akili ya kawaida, kama jamaa hana matatizo ya akili, au kapewa masharti na mganga!!!
Na wenyewe waue wake zao ili tujue wanafurahia kweli, sio ushabiki mandazi.binti kiziwi
Binti wa zamani
Strong ladg
Buyuni Kwetu
Oneni hiki kichaa kinachoitaji chanjo
Tunafanya je wanaume wanashindana kutumaliza💔
Hali hii inafurahiwa na wanaume hata ukipitia comment hawa watu wamechanganyikiwa 🙌🏼🙌🏼
Characters mbili tofauti, kwani huyu chanzo ni nini?Huyu na yule wote ni wale wale tu.
Cjajua akina Ke huwa wanawaza nini na kivipi - mitongozo miwili au mitatu tayari anasema ndiyo-basi haya(in Gwajima's voice). Haangalii mengine. Wanadhani labda kuishi ni sawa na kula tunda kimasihara. Wanasahau "Familiarity breeds contempt". Penzi linachuja kadri muda unavyokwenda.Ni zamu ya wanawake kuishi na wanaume kwa akili,mtaisha!!
Sidhani. Hii social media inasaidia sana Awareness creation kwa akina Ke. Wajue kuzitambua na kuzisoma alama za nyakati.Kadri haya matukio yanavyopewa muda mwingi kwenye social media ndiyo yatazidi kuibuka kila siku.