Mbalizi feedstuff
JF-Expert Member
- Feb 23, 2025
- 238
- 269
Ila hii nchi,hivi hawawezi kutafuta magari ya kubebea maiti ni hayo tu macruiser na madefender?
Ipo hivi Mkuu,ukiaoa au ukiolewa na mtu ambaye nafsi yake haijakombolewa na Kristo Yesu jiandae kwa lolote wakati wowote!. Hata kama awe ni kiongozi wa dini. Hata kama awe anakesha makanisani. Hata kama awe mshika dini wa dini zote zilizopo hapa duniani. Narudia tena oa au olewa nae at your own risk!. Huyu ni ticking bomb. Kulipuka ni obvious!Na itakuwaje kwa wale wasio mwamini Yesu e.g. Dini nyingine; Wapagani na hata wale wasioamini uwepo wa Mungu?
Dini/imani na mwanadamu ni kipi/yupi mkuu kuliko kingine?Yamkini wewe ni miongoni mwa wahanga wa kutoelewa kwa nini Yesu aliacha enzi yake mbinguni akaja duniani. Ndio maana huoni tofauti Kati ya Dini/Imani na Wokovu.
Kwa faida yako ni kwamba Dini or the so called Imani has nothing to do with setting individuals free from spiritual slavery. Mtu akiwa mtumwa anatenda mambo ambayo hayapendi ndio kama haya ya kuua halafu baadae unaanza kujutia.
Utumwa wa kiroho ndio anguko la Mwanadamu lilipo bila kujali status yake!
WARUMI 7
14 Kwa maana twajua ya kuwa torati asili yake ni ya rohoni; bali mimi ni mtu wa mwilini, nimeuzwa chini ya dhambi.
15 Maana sijui nifanyalo, kwa sababu lile nilipendalo, silitendi; bali lile nilichukialo ndilo ninalolitenda.
16 Lakini kama nikilitenda lile nisilolipenda, naikiri ile sheria ya kuwa ni njema.
17 Basi sasa si mimi nafsi yangu ninayetenda hilo, bali ni ile dhambi ikaayo ndani yangu
18 Kwa maana najua ya kuwa ndani yangu, yaani, ndani ya mwili wangu, halikai neno jema; kwa kuwa kutaka nataka, bali kutenda lililo jema sipati.
19 Kwa maana lile jema nilipendalo, silitendi; bali lile baya nisilolipenda ndilo nilitendalo.
20 Basi kama lile nisilolipenda ndilo nilitendalo, si mimi nafsi yangu nilitendaye, bali ni ile dhambi ikaayo ndani yangu.
YOHANA 8
36 Basi Mwana akiwaweka huru, mtakuwa huru kweli kweli.
Wokovu watoka wapi?Mwanadamu ndiye aliyebuni kitu kinachoitwa Dini. Hivyo amua mwenyewe kipi ni gteater. Hata hivyo,mimi simzungumzii dini bali nazungumzia Wokovu katika Kristo Yesu likiwa ndilo suluhisho la kudumu la kipekee la haya majanga ya watu kufanyiana ukatili. Njia nyingine zote ni part time pain killers tu,ugonjwa utaendelea kutamalaki.
Wokovu unatoka kwa Mwokozi Yesu:Dini/imani na mwanadamu ni kipi/yupi mkuu kuliko kingine?
Wokovu watoka wapi?
Unachokizungumza sio cha kizazi hiki uwanaume na ukike ulikuwa zamani.Mzee mwenzangu wanaume tuna shida sio siri,tumekuwa dhaifu mno, eti kiumbe mwanamke ni wa kumchoma kisu au kumpiga risasi kweli?
Uko wapi uanaume wetu,ipo wapi hekima na busara ya kichwa cha familia?
Haya unakomoa mpaka watoto sasa,hapo mama kafa halafu baba unaenda jela,huu kama si ujinga ni nini?
Asilaumiwe mwanafunzi; mwalimu atimize wajibu wake.Wokovu unatoka kwa Mwokozi Yesu:
YOHANA 8
36 Basi Mwana akiwaweka huru, mtakuwa huru kweli kweli.
ISAYA 61
1 Roho ya Bwana MUNGU i juu yangu; kwa sababu Bwana amenitia mafuta niwahubiri wanyenyekevu habari njema; amenituma ili kuwaganga waliovunjika moyo, kuwatangazia mateka uhuru wao, na hao waliofungwa habari za kufunguliwa kwao.
Mwalimu akishafundisha(habarisha) na mwanafunzi akaelewa basi wajibu wake unakuwa umeishia hapo.Asilaumiwe mwanafunzi; mwalimu atimize wajibu wake.
Ishi nao kwa akiliTAHARUKI imetanda katika Mtaa wa Mailimbili Darajani, jijini Dodoma, kufuatia tukio la mwanamume anayedaiwa kumuua mkewe kwa kumchoma na kitu chenye ncha kali shingoni.
Marehemu ametambuliwa kwa jina la Shukran Riziki (30) na mtuhumiwa ni Khatibu Mfaume, anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 39.
Kwa mujibu wa taarifa za awali, tukio hilo linadaiwa kutokea jana, huku wanandoa hao wakitajwa kuwa na historia ya kugombana mara kwa mara.
Baada ya tukio hilo, Mfaume anadaiwa kwenda kunywa pombe kabla ya kurejea nyumbani na kulala karibu na mwili wa mkewe.
Taarifa zaidi zinaeleza kuwa asubuhi ya leo, Oktoba 9,2026 mtuhumiwa alikwenda kujisalimisha katika kituo cha polisi cha kata kabla ya kuhamishiwa Kituo Kikuu cha Polisi Dodoma.
Tayari Jeshi la Polisi limefika katika eneo la tukio kwa ajili ya kuuchukua mwili wa marehemu na kuendelea na taratibu za uchunguzi.
Hata hivyo, maelezo hayo ni ya awali na sababu kamili za tukio hilo bado hazijathibitishwa rasmi.
Soma Pia: Mume adaiwa kumuua mkewe kwa risasi huko Bunju, Dar es Salaam
Nakubaliana na wewe. Ila baadhi ya walimu chini ya kiwango!Mwalimu akishafundisha(habarisha) na mwanafunzi akaelewa basi wajibu wake unakuwa umeishia hapo.
Kuzingatia na kufanyia kazi unabaki kuwa ni wajibu wa Mwanafunzi mwenyewe!
OkNakubaliana na wewe. Ila baadhi ya walimu chini ya kiwango!
Nakazia nakazia📌📌📌Naona kuna wapuuzi humu wapo proud kabisa kuua wanawake,acheni ujinga,jua hata dada yako ipo siku atafikiwa
Cheche huzaa MotoTAHARUKI imetanda katika Mtaa wa Mailimbili Darajani, jijini Dodoma, kufuatia tukio la mwanamume anayedaiwa kumuua mkewe kwa kumchoma na kitu chenye ncha kali shingoni.
Marehemu ametambuliwa kwa jina la Shukran Riziki (30) na mtuhumiwa ni Khatibu Mfaume, anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 39.
Kwa mujibu wa taarifa za awali, tukio hilo linadaiwa kutokea jana, huku wanandoa hao wakitajwa kuwa na historia ya kugombana mara kwa mara.
Baada ya tukio hilo, Mfaume anadaiwa kwenda kunywa pombe kabla ya kurejea nyumbani na kulala karibu na mwili wa mkewe.
Taarifa zaidi zinaeleza kuwa asubuhi ya leo, Oktoba 9,2026 mtuhumiwa alikwenda kujisalimisha katika kituo cha polisi cha kata kabla ya kuhamishiwa Kituo Kikuu cha Polisi Dodoma.
Tayari Jeshi la Polisi limefika katika eneo la tukio kwa ajili ya kuuchukua mwili wa marehemu na kuendelea na taratibu za uchunguzi.
Hata hivyo, maelezo hayo ni ya awali na sababu kamili za tukio hilo bado hazijathibitishwa rasmi.
Soma Pia: Mume adaiwa kumuua mkewe kwa risasi huko Bunju, Dar es Salaam
WagogoHao nao ni wachaga?
Maana waliandamwa sana baada ya tukio la Kweka na jane
UpwiruCheche huzaa Moto
Naona hakupoiKumekucha tena
Ni bandika banduaHakuna muda wa kupoteza
Alienda kulewa akarudi kulala na maiti, alianza kuua kwanza ndio pombe ikafata.Sasa si umesikia alienda kulewa akarudi kufanya tukio! 😊
Hukawii kuingiza uchaga hapa wewe!