hydroxo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2015
- 6,772
- 15,651
Wagala mmechinjana sana wiki hii.
Wagala mmechinjana sana wiki hii.
Malizia storyNikweli mauaji hayafai ila kiukweli Kuna muda mtu unafanya tu bila kujali kitu...wenyeji wa soko kuu lindi wanakijua kisa cha mzee mmoja alishauriana na mkewe wakope pesa ili wafanyie biashara ya vinywaji ,,,,na kweli wakakopa pesa ndefu tu mke ndie akawa Anakaa dukani sasa kama unavyojua ujinga wa sokoni dogo ambae ni sawa na mtoto wao ndie akawa anamla yule mama na mama nae akaelewa mikito dogo akanunuliwa pikipiki TVs iliyotumika
Majina ya koo zao tafazali 😫
Suluhisho la kudumu ni watu wote wampokee Kristo Yesu mioyoni mwao tena katika roho na kweli(Jambo ambalo haliji kutokea kamwe!) kwa sababu wanaompokea Yesu katika roho na kweli ni wachache sana ukilinganisha na wanaompuuza!Sasa mkuu; Kama chanzo kimebainika na kipo tufanyeje? The way forward p/s.
Huu mwarobaini wa kutumia vitu vyenye ncha kali au risasi umeonekana sio mujarabu hata kidogo.
Aisee huyo kweka wenu ameanza kutuharibia vijana wetu
Nawatania wachga mkuuSoma habari vizuri mkuu.
Awali nilikuwa ninashangaa kusikia ndoa za mkataba. Ila sasa nimefahamu. Kila jambo na wakati wake!Ndoa za mikataba ndizo tunazoelekea kuishi nazo kwa Gen Z kuepukana na maafa kimahusiano.
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Mwanadamu ndiye aliyebuni kitu kinachoitwa Dini. Hivyo amua mwenyewe kipi ni gteater. Hata hivyo,mimi simzungumzii dini bali nazungumzia Wokovu katika Kristo Yesu likiwa ndilo suluhisho la kudumu la kipekee la haya majanga ya watu kufanyiana ukatili. Njia nyingine zote ni part time pain killers tu,ugonjwa utaendelea kutamalaki.Dini/imani na mwanadamu ni kipi/yupi mkuu kuliko kingine?
Ingekuwa ukanda wa Moshi mpk media uchwara zingefufuka, ungekuta huu uzi una wenzie kadhaa nimegundua tuna ushabiki usio tumia akili, logic zaidi ukanda na chuki dhidi ya jamii nyingnImebidi nipitiepitie kujua nini kimejiri kwa wanandoa wengine, hawa sio wachagga? Sio wamachame? Sio wakristo? Maana hili kundi ndio limekuwa kinara wa kupasuana kila siku.
Lakini zaidi, kuuwa mtu kwa kumchoma kisu, kisha kumla, inaashiria nini, sio mali? Sio mapenzi? Sio ushirikina?
Hili kwangu halijadiliki, tuendelee kuziombea ndoa. Maana ibilisi ameamua kuweka makazi yake humu.
Na itakuwaje kwa wale wasio mwamini Yesu e.g. Dini nyingine; Wapagani na hata wale wasioamini uwepo wa Mungu?Suluhisho la kudumu ni watu wote wampokee Kristo Yesu mioyoni mwao tena katika roho na kweli(Jambo ambalo haliji kutokea kamwe!) kwa sababu wanaompokea Yesu katika roho na kweli ni wachache sana ukilinganisha na wanaompuuza!
Yesu ndiye pekee mwenye uwezo wa kung'oa kila mbegu ya uovu na ubinafsi ndani ya nafsi ya mtu(yaani kutukomboa kutoka katika utumwa wa dhambi na Mauti). Hakuna short cut!.
YOHANA 8
24 Kwa hiyo naliwaambieni ya kwamba mtakufa katika dhambi zenu; kwa sababu msiposadiki ya kuwa mimi ndiye, mtakufa katika dhambi zenu.
Mateka sharti aokolewe kwa sababu hawezi kujiokoa mwenyewe.
Mateka ni mtu anayetenda mambo ambayo baada ya kuyatenda anaanza kujutia!
Kutokuwa huru kiroho ndicho chanzo cha mmomonyoko wa Emotional Intelligence!.
Nafsi ambayo haijakombolewa haiwezi kumpenda jirani kama nafsi yake so definitely itaishi ikijiona ni bora kuliko wengine. Kifuatacho ni ukatili na unyama wa kila rangi. Ndio hayo tunayoyasikia!
Tutaona na kusikia mengi zaidi.
Yep. Itapendeza zaidi.Malizia story
iga ufeAisee huyo kweka wenu ameanza kutuharibia vijana wetu
Huyo hakuwa na Mume bali alikuwa na Hawara na kitendo hicho cha kumwacha huyo "Mume" wa kwanza kinadhihirisha ni Umalaya au Uzinzi.Kuna mwanamke mmoja alimuacha mume wake mwenye kipato cha wastani akaenda kuolewa na mchimba madini kwa mahari ya milioni mbili,
Lipo katazo la mwenendo huo kati ya zile Amri kumi za Mungu (The Ten commandments).sasa mwanamke anajuta, ni kipondo kwa kwenda mbele toka huyo mchimba madini ana wivu balaa, hataki kusikia mke wake huyo akiongea na simu anadhani kapigiwa ex husband wake. Kuolewa kwa tamaa kutawagharimu wanawake
Wala usihangaike hivyo. Kama huna janja-janja hakuna sababu ya kulala jicho moja wazi kama sungura.Mi ngoja kwa mwenzi huu nilale na baba watoto kimachale machale maana naona upepo wa sasa upande wa pili wa jinsia Me wame changanyikiwa🐒