Wenzetu wakienda nje wanatoboa pia wanaushirikiano, wabongo wanafata chupi na chupa tu then wanarudi apeche.Mbongo hana malengo ajui nini kusudi lake maishani atakapokuta maziwa na mkate ndo kafika.No,wakifika huko wanaitafuta ulaya au wanaenda kuwajoin wenzao hapo South africa maana wasomali,wapo wamewekeza sana South africa
Wanachotaka jamaa zao wafike tu hapo wakifika wawafanyie mchakato wa kimaisha zaidi
Ova
Hii ndo ilimtajirisha mume wa zari South.
Hizi dili ufanywa na makundi ya Mafia,makundi ya magaidi,nk
Ndio zilee shaba za kichwa 7 zinahusika bila fujoangeweka namba za kibalozi [emoji848] mwanaume anafaiti hivi kesho akute mke yuko na mtu mwingine [emoji24]
Mm kna bro wangu mmja alikulaga boda miaka ya 80 nasikia walipitia Sudan hadi Algeria....mpaka leo hajulikani alipo mamaeeee
Tulimsaka sana lkn bila bila
Mpaka leo hiii
Njiani huko walikuwa wanakutana na mabalaaa htr sana mpaka kufika ulaya basi we ni zaidi ya mwanajeshi
Ova
No,wakifika huko wanaitafuta ulaya au wanaenda kuwajoin wenzao hapo South africa maana wasomali,wapo wamewekeza sana South africa
Wanachotaka jamaa zao wafike tu hapo wakifika wawafanyie mchakato wa kimaisha zaidi
Ova
Wahamiaji haramu wanatoa pesa nyingi Sana Ili kuvuka sasa sijui kwann wasitafute vibali wavuke kihalali labda elimu ni tatizo.Hakuna ugaidi hapo ni akili tu kama biashara zingine
Hii Mafia sawa na wengine ni wauwaji sana especially wale wa Lampedusa hao balaa wanakula hela yako na ukifika karibu wanawaacha au wanazamisha boti
Hayupo kna wakati nlikuwa udachi,italy Denmark nlijaribu kuongea na mabaharia wa zamani waliyotambaaSio rahisi kuwa hai hadi sasa,angesharudi japo kusalimia.utekwa na maharamia then wanaporwa walivyonavyo au kuuzwa kwa wanunuzi wa viungo vya binadamu,uliwa na wanyama.
Nenda tu kihalali nchi za watu
Wa sasa ila wa zamani waliyokuwa wameondoka waliporudi walifanya mambo mengi sanaWenzetu wakienda nje wanatoboa pia wanaushirikiano, wabongo wanafata chupi na chupa tu then wanarudi apeche.Mbongo hana malengo ajui nini kusudi lake maishani atakapokuta maziwa na mkate ndo kafika.
Poleni,wengi upotea bila taarifa hata angalau namna ya kuweza taarifa kufika kwa nduguHayupo kna wakati nlikuwa udachi,italy Denmark nlijaribu kuongea na mabaharia wa zamani waliyotambaa
Lkn picha yake hawakuitambua kumuona
Kwa hiyo jamaa naona hayupo kwenye ulimwengu huu wa duniaa
Ova
Nimewaza hivyo pia.Sasa angetumia VX V8 angetoboaje wakati ishu ni kuwa kachomeshwa? Kuna mtu kavujisha kuwa hio cruiser ni ya mchongo.
Dili kama hizo hutakiwi kutumia gari moja[emoji3] unatakiwa uwe unabadili badili gari tu[emoji3]
Safi naona kichwa chako kiko vzrMimi niliondoka 1978 nikiwa mdogo na akili za kutokujali ili mradi nitoke tu
Huwezi amini nilipita border mbili tu kushtuka Niko Aden huyoooo
Kuna wakati nliendaga IranNdio michongo ipo huko na wanaingia sana Ulaya kupitia hapo ila wakifika kwetu wanaonewa sana kama wamekamata majambazi ila hawajui walipokuwa wanakimbia kwao bado walikuwa wanauwawa na serikali yao kwa kukimbia nchi
Na mie nashangaa, mtu km unataka kusepa sehemu kila mtu ayeye kivyake mnakutana sehemu mlipopanga, mawasiliano si yapo bhana. Khaaah.Sema nao kwann wanatembea kwa makundi?? Mbona wakiwa wawili wwili hakuna atakaye wastukia wanakutana tu tunduma?? Wanaunga tu magari ya kawaida,wtz hatunaga shobo za kufuatiliana ukijua mtu siyo raia na ana 50 zake
Hahaha nimekumbka msomali niliwahi safiri name kutoka Dar had Songea, kufika pale siku naenda home nikawa nae tena kwa gari anaenda boarder ya msumbiji. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hio wanaweza wasomali,ulishawahi sikia msomali au wasomali kakamatwa zaidi ya hao ng'ombe.
Wahamiaji haramu wanatoa pesa nyingi Sana Ili kuvuka sasa sijui kwann wasitafute vibali wavuke kihalali labda elimu ni tatizo.
Mfano mcomoro Ili afike France utumia hadi milioni 10 za kibongo euro 5000.
Mmethiopia au msomali kuvuka tu toka Arusha hadi Mbeya si chini ya milioni 2 inamtoka kuwalipa madalali.
Ukiona wamekamatwa jua kuna Dalali kachomesha wamezulumiana au kapewa pesa mbuzi.
Hii ya kutoka wengi wengi lazima uishe.....Kama hujui watu ni mtihani mwingine
Lazima kabla hawajaondoka wanakuwa na contacts za waliotangulia au wanaowahamisha sasa Mkuu unafikiri ni hela ndogo wanatoa
Kupata visa unaomba kwenye nchi yako sasa huko Ethiopia huwezi hata kukanyaga ubalozi kwani police wako nje utajieleza nini na hawataki utoke?
Ukija nchi nyingine bila visa utapataje ya nchi nyingine
Swali utaulizwa umeingiaje hapa ?
Mkuu kutoka ni lazima utafute njia zako
😀😀😀Swadakta kabisa ulivyoandika tu nikajua huyu mwenzangu na mimi...Nimesota sana nilianza kukwea pipa nikiwa na miaka 19 tu
Nimepambana sana mpaka vita visivyonihusu nikapigana
Haya maisha yanatufundisha mengi
Nimetembea nchi 32 duniani na kukata border ni kawaida sana
Iwe kwa passport au kibabe [emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3]Swadakta kabisa ulivyoandika tu nikajua huyu mwenzangu na mimi...