Dodoma: Akamatwa kwa kufoji namba za gari (SU) na kusafirisha wahamiaji haramu

Dodoma: Akamatwa kwa kufoji namba za gari (SU) na kusafirisha wahamiaji haramu

No,wakifika huko wanaitafuta ulaya au wanaenda kuwajoin wenzao hapo South africa maana wasomali,wapo wamewekeza sana South africa
Wanachotaka jamaa zao wafike tu hapo wakifika wawafanyie mchakato wa kimaisha zaidi

Ova
Wenzetu wakienda nje wanatoboa pia wanaushirikiano, wabongo wanafata chupi na chupa tu then wanarudi apeche.Mbongo hana malengo ajui nini kusudi lake maishani atakapokuta maziwa na mkate ndo kafika.
 
Hii ndo ilimtajirisha mume wa zari South.
Hizi dili ufanywa na makundi ya Mafia,makundi ya magaidi,nk

Hakuna ugaidi hapo ni akili tu kama biashara zingine
Hii Mafia sawa na wengine ni wauwaji sana especially wale wa Lampedusa hao balaa wanakula hela yako na ukifika karibu wanawaacha au wanazamisha boti
 
Mm kna bro wangu mmja alikulaga boda miaka ya 80 nasikia walipitia Sudan hadi Algeria....mpaka leo hajulikani alipo mamaeeee
Tulimsaka sana lkn bila bila
Mpaka leo hiii
Njiani huko walikuwa wanakutana na mabalaaa htr sana mpaka kufika ulaya basi we ni zaidi ya mwanajeshi

Ova

Mkuu ni bahati na ujasiri pia
Mimi nimeishajizika na mchanga desert [emoji248] kujificha kwa Askari na nilisali Sala za mwisho

Kujizika ukiwa hai ni ujasiri haswa
Survival for the fittest [emoji1431][emoji1417]
Bila kukuficha mimi ni one man gang [emoji23]
 
Humo haweka 16? Jamaa anapambana kinyama
 
No,wakifika huko wanaitafuta ulaya au wanaenda kuwajoin wenzao hapo South africa maana wasomali,wapo wamewekeza sana South africa
Wanachotaka jamaa zao wafike tu hapo wakifika wawafanyie mchakato wa kimaisha zaidi

Ova

Ndio michongo ipo huko na wanaingia sana Ulaya kupitia hapo ila wakifika kwetu wanaonewa sana kama wamekamata majambazi ila hawajui walipokuwa wanakimbia kwao bado walikuwa wanauwawa na serikali yao kwa kukimbia nchi
 
Hakuna ugaidi hapo ni akili tu kama biashara zingine
Hii Mafia sawa na wengine ni wauwaji sana especially wale wa Lampedusa hao balaa wanakula hela yako na ukifika karibu wanawaacha au wanazamisha boti
Wahamiaji haramu wanatoa pesa nyingi Sana Ili kuvuka sasa sijui kwann wasitafute vibali wavuke kihalali labda elimu ni tatizo.
Mfano mcomoro Ili afike France utumia hadi milioni 10 za kibongo euro 5000.
Mmethiopia au msomali kuvuka tu toka Arusha hadi Mbeya si chini ya milioni 2 inamtoka kuwalipa madalali.
Ukiona wamekamatwa jua kuna Dalali kachomesha wamezulumiana au kapewa pesa mbuzi.
 
Sio mantiki ya serikali kuwajaza hawa watu magerezani wanakula kodi zetu bure, hawa ni mabaharia wanaokimbia umasikini nchi mwao ulioletwa na watawala maana watawala wote wa kiafrica akili zao zinafanana hawana nafuu kwa wananchi wala uchungu zaidi ya kuwaibia waafrika na kwenda kuficha Ulaya.
Hapa nchini ni wapitaji. Wamejaa jela zote kuanzia nchini hadi Malawi, Zambia, zimbabwe.
 
Sio rahisi kuwa hai hadi sasa,angesharudi japo kusalimia.utekwa na maharamia then wanaporwa walivyonavyo au kuuzwa kwa wanunuzi wa viungo vya binadamu,uliwa na wanyama.

Nenda tu kihalali nchi za watu
Hayupo kna wakati nlikuwa udachi,italy Denmark nlijaribu kuongea na mabaharia wa zamani waliyotambaa
Lkn picha yake hawakuitambua kumuona
Kwa hiyo jamaa naona hayupo kwenye ulimwengu huu wa duniaa

Ova
 
Wenzetu wakienda nje wanatoboa pia wanaushirikiano, wabongo wanafata chupi na chupa tu then wanarudi apeche.Mbongo hana malengo ajui nini kusudi lake maishani atakapokuta maziwa na mkate ndo kafika.
Wa sasa ila wa zamani waliyokuwa wameondoka waliporudi walifanya mambo mengi sana
Coaster zenyewe watu wa kwqnza kuzingiza nchini ni mabaharia,Peugeot
Nguo,viatu,hata idea za maendeleo walileta
Sahv ndy wanafata chupi etc

Ova
 
Hayupo kna wakati nlikuwa udachi,italy Denmark nlijaribu kuongea na mabaharia wa zamani waliyotambaa
Lkn picha yake hawakuitambua kumuona
Kwa hiyo jamaa naona hayupo kwenye ulimwengu huu wa duniaa

Ova
Poleni,wengi upotea bila taarifa hata angalau namna ya kuweza taarifa kufika kwa ndugu
 
Sasa angetumia VX V8 angetoboaje wakati ishu ni kuwa kachomeshwa? Kuna mtu kavujisha kuwa hio cruiser ni ya mchongo.

Dili kama hizo hutakiwi kutumia gari moja[emoji3] unatakiwa uwe unabadili badili gari tu[emoji3]
Nimewaza hivyo pia.
 
Mimi niliondoka 1978 nikiwa mdogo na akili za kutokujali ili mradi nitoke tu
Huwezi amini nilipita border mbili tu kushtuka Niko Aden huyoooo
Safi naona kichwa chako kiko vzr
Ukitoka kdg exposure inasaidia sana
Mzee umevuruga nchi 32,wkt wengine inchi 11 hahah

Ova
 
Ndio michongo ipo huko na wanaingia sana Ulaya kupitia hapo ila wakifika kwetu wanaonewa sana kama wamekamata majambazi ila hawajui walipokuwa wanakimbia kwao bado walikuwa wanauwawa na serikali yao kwa kukimbia nchi
Kuna wakati nliendaga Iran
Aise huko nlikutana na wabongo,kuna watu wa mataifa mbalimbali nkas3ma kweli watu wanatafuta maisha

Ova
 
Sema nao kwann wanatembea kwa makundi?? Mbona wakiwa wawili wwili hakuna atakaye wastukia wanakutana tu tunduma?? Wanaunga tu magari ya kawaida,wtz hatunaga shobo za kufuatiliana ukijua mtu siyo raia na ana 50 zake
Na mie nashangaa, mtu km unataka kusepa sehemu kila mtu ayeye kivyake mnakutana sehemu mlipopanga, mawasiliano si yapo bhana. Khaaah.

Hawa nao huwa wanataka wenyewe kukamatwa.
 
Hio wanaweza wasomali,ulishawahi sikia msomali au wasomali kakamatwa zaidi ya hao ng'ombe.
Hahaha nimekumbka msomali niliwahi safiri name kutoka Dar had Songea, kufika pale siku naenda home nikawa nae tena kwa gari anaenda boarder ya msumbiji. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wahamiaji haramu wanatoa pesa nyingi Sana Ili kuvuka sasa sijui kwann wasitafute vibali wavuke kihalali labda elimu ni tatizo.
Mfano mcomoro Ili afike France utumia hadi milioni 10 za kibongo euro 5000.
Mmethiopia au msomali kuvuka tu toka Arusha hadi Mbeya si chini ya milioni 2 inamtoka kuwalipa madalali.
Ukiona wamekamatwa jua kuna Dalali kachomesha wamezulumiana au kapewa pesa mbuzi.

Kama hujui watu ni mtihani mwingine
Lazima kabla hawajaondoka wanakuwa na contacts za waliotangulia au wanaowahamisha sasa Mkuu unafikiri ni hela ndogo wanatoa

Kupata visa unaomba kwenye nchi yako sasa huko Ethiopia huwezi hata kukanyaga ubalozi kwani police wako nje utajieleza nini na hawataki utoke?
Ukija nchi nyingine bila visa utapataje ya nchi nyingine
Swali utaulizwa umeingiaje hapa ?

Mkuu kutoka ni lazima utafute njia zako
 
Hii ya kutoka wengi wengi lazima uishe.....

Ila ndiyo maisha kwa mtu msafiri
Hashangai huwez laumu mtu

Ova
 
Nimesota sana nilianza kukwea pipa nikiwa na miaka 19 tu
Nimepambana sana mpaka vita visivyonihusu nikapigana
Haya maisha yanatufundisha mengi

Nimetembea nchi 32 duniani na kukata border ni kawaida sana
Iwe kwa passport au kibabe [emoji23][emoji23]
😀😀😀Swadakta kabisa ulivyoandika tu nikajua huyu mwenzangu na mimi...
 
Back
Top Bottom