Dodoma: Askofu Gwajima afika Bungeni kuhojiwa na Kamati ya Maadili akiwa na ulinzi wa Polisi

Askofu Gwajima akiwa ameongoza na askari hao alielekezwa kukaa katika viti vilivyoko baada ya mashine ya kukagua iliyoko katika jengo la utawala akisubiri kuitwa ukumbini

"Naweza kukaa sehemu yeyote.."Askofu kama anastukia kiti cha kuelekezwa. Duuh! Akiri Neno la Mungu, "Hata tukilishwa vya kufisha, tutakanyaga nge na nyoka lakini..."
.
 
Sasa hivi atachomwa chanjo Gwajima.
 
Kile kipaza sauti ......watamkolimba tusubiri
 
Ikitokea Kamati ya kinga,Haki na madaraka ya Bunge ikimkuta iliemuita kuhojiwa kuwa na makosa ni kipi hutokea,
Watamkaripia
Watampa onyo
Watamtimua ubunge
Au watamsamehe?
Koment ziwe fupi fupi na msiniletee Gazeti.
Mwisho
 
Kuwa specific, ni mpango wa nani huo kuua watu pole pole?
 
Kweli ww ni shujaa umepewa hadi ulinzi wa kukusindikiza kwenda kuwachana ukweli wao aisee sijawahi ona chuma kama hichi, songa mbele mzee Baba Gwajiboy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…