Dodoma: Basi lililobeba Wabunge wa Tanzania lagonga Lori na kuwajeruhi Wabunge 23

Dodoma: Basi lililobeba Wabunge wa Tanzania lagonga Lori na kuwajeruhi Wabunge 23

Hivi kuna siku hupita bila kuwa na ajali huko
Maana madereva hawajitambui na hawajifunzi ni mwendo wa kuuwana tu na kujeruhiana
Poleni sana kwa uzembe
Maana hakuna wa kiwajibishwa wala kuulizwa kwanini ajali zinatokea kila leo? Na hakuna majibu ya maana ?
Huyo dereva kawabeba watunga sheria na utakuta hao watunga sheria walikuwa wanamwambia suka akanyaagieeee

Ova
 
Moja ya basi lililokuwa limewabeba Waheshimiwa Wabunge wanaoelekea kwenye Mashindano ya Michezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki limepata ajali ya kugongana na lori la mizigo maeneo ya Mbande Kongwa asubuhi hii.

Majeruhi wa ajali hiyo wamekimbizwa Hospitali ya Uhuru na Hospitali ya Benjamini Mkapa za Mkoani Dodoma.

========

Baadhi ya wabunge waliokuwa wanasafiri kuelekea Mombasa Kenya kushiriki mashindano ya 14 ya Mabunge ya Afrika Mashariki, wamepata ajali katika eneo la Mbande mkoani Dodoma baada ya Basi waliokuwa wakisafiria kugongana na Lori.
Hapo ilipotokea ajali ijengwe hosipitali ya mama Samia.
 
Kama taifa tupo kwenye peak moja ya chuki kali sana na CCM wakiwa smart watajifunza kitu.

Yaani uzi una viewers 1K na post 82 lakini hakuna hata mmoja ktk walioupitia aliyeweka emoji ya “masikitiko” hii ni hatari sana.View attachment 3170333
Tatizo chawa wao wanawapa taarifa zisizo sahihi kuwa wanakubalika .
 
Back
Top Bottom