Dodoma: Basi lililobeba Wabunge wa Tanzania lagonga Lori na kuwajeruhi Wabunge 23

Nimeipokea hii taarifa kwa masikitiko makubwa sana....Mungu awafanyie wepesi.....
1002336071.jpg
 
Ukitaka kujua usaliti ni mbaya angalia account ya kigogo2014 ilivyopuuzwa.

Hayo majizi yalivyoingia bungeni 2020 hakuna asiyejua , chuki waliipanda wenyewe wasimlaumu mtu wananchi wakichoka utaona tu kazi kwao kila siku wanavyosema mtandaoni hakuna wapiga kura na mitandao haina ukweli kuhusu hisia za watu

Siku yao yaja.
 
Tuna wabunge wa hovyo sana
 
Tatizo Mungu hajawapenda zaidi. Hivyo nami nawapenda kiasi. Hadi Mungu atapowapenda zaidi ...
 
Back
Top Bottom