Dodoma: Basi lililobeba Wabunge wa Tanzania lagonga Lori na kuwajeruhi Wabunge 23

Kote tunasema labda huwa huoni
Chawa nijuavyo wanasemea ugali wao bila kujali ugali unapatikana kwa kutoa hata roho za wasio na hatia ama kwa kuwakwibia kifisadi ama kwa urefu wa kamba,hivyo wote wa aina hizo mlaaniwe tena kweli kweli.
 
Mm siyo chawa boss tunaongelea maisha ya watu boss uhai boss
 
Ni myth hazina ushaidi
Upo kwenye chafuzi,utekaji,Uuwaji na kutojali hoja,mawazo,malalamiko,kanuni,sheria na miongozo mama tukiyojiwekea ikiwa hata katiba iliyopitwa na muda,achilia mbali mpya inayoombwa kurekebisha mapungufu ya iliyopo.
 
Mm siyo chawa boss tunaongelea maisha ya watu boss uhai boss
Chawa ama kwa kujua ama bila kijua na wanajukwa chawa kama akina naniliu wanaweza kuthibitisha.Vinginevyo acha kudandia yale ambayo yanaliangamiza taifa.
 
Upo kwenye chafuzi,utekaji,Uuwaji na kutojali hoja,mawazo,malalamiko,kanuni,sheria na miongozo mama tukiyojiwekea ikiwa hata katiba iliyopitwa na muda,achilia mbali mpya inayoombwa kurekebisha mapungufu ya iliyopo.
Sasa mkuu watanzania si tumeshaamua
 
Dah aseee kweli mmewachoka hawa vibaka.

Hapo utakuta basi lilikuwa mwendo wa ngiri na kufanya vurugu barabarani kisa tu limebeba wakujiita "waheshimiwa".

Maana hii nchi watunga sheria na walinda sheria ndio wanaongoza kuvunja sheria.
Mimi swali langu ni moja tu. Mheshimiwa sana Spika alikuwemo humo?
Nashukuru tu kuwa hakuna aliye poteza maisha; lakini kwa hayo maumivu tu ya muda mfupi, sioni lolote la kuwasikitikia hawa!
 
Hawakuwa na ving'ora?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…