Dodoma: Basi lililobeba Wabunge wa Tanzania lagonga Lori na kuwajeruhi Wabunge 23

Dodoma: Basi lililobeba Wabunge wa Tanzania lagonga Lori na kuwajeruhi Wabunge 23

Kote tunasema labda huwa huoni
Chawa nijuavyo wanasemea ugali wao bila kujali ugali unapatikana kwa kutoa hata roho za wasio na hatia ama kwa kuwakwibia kifisadi ama kwa urefu wa kamba,hivyo wote wa aina hizo mlaaniwe tena kweli kweli.
 
Ni myth hazina ushaidi
Upo kwenye chafuzi,utekaji,Uuwaji na kutojali hoja,mawazo,malalamiko,kanuni,sheria na miongozo mama tukiyojiwekea ikiwa hata katiba iliyopitwa na muda,achilia mbali mpya inayoombwa kurekebisha mapungufu ya iliyopo.
 
Mm siyo chawa boss tunaongelea maisha ya watu boss uhai boss
Chawa ama kwa kujua ama bila kijua na wanajukwa chawa kama akina naniliu wanaweza kuthibitisha.Vinginevyo acha kudandia yale ambayo yanaliangamiza taifa.
 
Upo kwenye chafuzi,utekaji,Uuwaji na kutojali hoja,mawazo,malalamiko,kanuni,sheria na miongozo mama tukiyojiwekea ikiwa hata katiba iliyopitwa na muda,achilia mbali mpya inayoombwa kurekebisha mapungufu ya iliyopo.
Sasa mkuu watanzania si tumeshaamua
 
Dah aseee kweli mmewachoka hawa vibaka.

Hapo utakuta basi lilikuwa mwendo wa ngiri na kufanya vurugu barabarani kisa tu limebeba wakujiita "waheshimiwa".

Maana hii nchi watunga sheria na walinda sheria ndio wanaongoza kuvunja sheria.
Mimi swali langu ni moja tu. Mheshimiwa sana Spika alikuwemo humo?
Nashukuru tu kuwa hakuna aliye poteza maisha; lakini kwa hayo maumivu tu ya muda mfupi, sioni lolote la kuwasikitikia hawa!
 
Moja ya basi lililokuwa limewabeba Waheshimiwa Wabunge wanaoelekea kwenye Mashindano ya Michezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki limepata ajali ya kugongana na lori la mizigo maeneo ya Mbande Kongwa asubuhi hii. Majeruhi wa ajali hiyo wamekimbizwa Hospitali ya Uhuru na Hospitali ya Benjamini Mkapa za Mkoani Dodoma. ======== Baadhi ya wabunge waliokuwa wanasafiri kuelekea Mombasa Kenya kushiriki mashindano ya 14 ya Mabunge ya Afrika Mashariki, wamepata ajali katika eneo la Mbande mkoani Dodoma baada ya Basi waliokuwa wakisafiria kugongana na Lori.
Moja ya basi lililokuwa limewabeba Waheshimiwa Wabunge wanaoelekea kwenye Mashindano ya Michezo ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki limepata ajali ya kugongana na lori la mizigo maeneo ya Mbande Kongwa asubuhi hii.

Majeruhi wa ajali hiyo wamekimbizwa Hospitali ya Uhuru na Hospitali ya Benjamini Mkapa za Mkoani Dodoma.

========

Baadhi ya wabunge waliokuwa wanasafiri kuelekea Mombasa Kenya kushiriki mashindano ya 14 ya Mabunge ya Afrika Mashariki, wamepata ajali katika eneo la Mbande mkoani Dodoma baada ya Basi waliokuwa wakisafiria kugongana na Lori.
Hawakuwa na ving'ora?
 
Back
Top Bottom