Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Wabunge mmeamua kuwasaliti watanzania kwa kuwatumikia mafisadi ya kiarabu?

Mungu anawaona
 
Hakuna watu hapa , wakimaliza waende dubai ,ila wakienda majimboni watajua hawajui
 
Sikilizeni vizuri sana msije sema nchi imeuzwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…