denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Hao jamaa ni washenzi sana, yani wanasema wazi kama serikali ikipata upenyo wa kuvunja mkataba, maana yake wanakiri wameshajifunga!.Mwenyekiti anasema eti ibara 21 hadi 23 imefanyiwa uchambuzi na kamati kuwa serikali ikiwa makini katika utekelezaji inaweza ikapata upenyo wa kuvunja mkataba!
Bado najiuliza kweli mwenyekiti wa kamati kweli aliusoma vizuri mkataba?