Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Wanajifanya wanawakomoa CHADEMA kumbe walivyo Wapumbavu wanauza nchi. Tuna Wabunge Wapumbavu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe mwenye akili mbona husemi tatizo nini?Huna akili
SureKwa maelezo yao unaweza kuvunja, natamani wasome hivyo vifungu na waeleze unawezaje kuvunja.
Uchambuzi ni wa kisiasa zaidi kuliko utaalamu.
Kabisaa yaaan nimeonaa kbsaaKitila anauma na kupuliza 🤣🤣🤣 anatamani asome vipengele vya mkataba ila ni kama wameambiwa wasinukuu kuepusha taharuki.
Msikikize, bunge lipo live, siyo kama wakati wa mwenda zake.Uzuri gani?
Kitila anauma na kupuliza 🤣🤣🤣 anatamani asome vipengele vya mkataba ila ni kama wameambiwa wasinukuu kuepusha taharuki.
Sabato NjemaHuna akili
Mwendazake hakuuza sehemu yoyote ya nchiMsikikize, bunge lipo live, siyo kama wakati wa mwenda zake.
MuacheWewe mwenye akili mbona husemi tatizo nini?
Kwanza waingize kichwa kisha waingize lote.Maana DP World wanapewa Berth 1-7 tu
8-11 zinabaki TPA kama kawaida
Mafuta, Gesi, Magari yanabaki TPA
Ulinzi unabaki kwa Tanzania
Mtwara na Tanga hazitahusika
Amesoma kopengele gani?Mbona namsikia anasoma vipengele vya mkataba? Au wewe unasikiliza bunge lipi?
AahaaaaaBADAE YANGA AKIJA NA PARED LA UBINGWA NA MGARI WAO WA UWAZI JUU NDO TUNASAHAU YOTE BDAE WATU WAKIJA KUPOA MUARABU UTAKUTA KASHACHUKUA CHAKE KITAMBO ANAPIGA KAZI ======
KAZI IENDELE....