Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Wewe mwenye akili mbona husemi tatizo nini?
Muache

Tusikilize Bunge hadi mwisho afu ndio tutakuja na maamuzi.

Msemaji wa Pili anaongelea mambo mazuri sana, na katoa elimu ambayo sikuijua.


Pili Mbowe alikosea kuweka mambo ya Uzanzibar na Wazanzibar
 
Nimesikiliza kwa makini sana, kafanya kazi ya serikali bungeni kwenye mchango wake badala ya kibunge dhidi ya serikali

Ndio maana makofi mengi yamepigwa na meza ya mawaziri kwa sababu kawarahisishia kazi ya kuitetea serikali.


Imani yangu serikali imuangalie katika teuzi
 
BADAE YANGA AKIJA NA PARED LA UBINGWA NA MGARI WAO WA UWAZI JUU NDO TUNASAHAU YOTE BDAE WATU WAKIJA KUPOA MUARABU UTAKUTA KASHACHUKUA CHAKE KITAMBO ANAPIGA KAZI ======
KAZI IENDELE....
Aahaaaaa

Kila kitu kimesetiwa,

Kama haitoshi tunampa kiatu Cha dhadhabu Ntiba
 
Back
Top Bottom