denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Kwanini unamheshimu mpuuzi aliyeamua kujivua nguo mwenyewe?Hajaisoma, katoa maelezo kisiasa na sio kitaalam.
Anyway sijitaji kubishana na wewe nakuheshimu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini unamheshimu mpuuzi aliyeamua kujivua nguo mwenyewe?Hajaisoma, katoa maelezo kisiasa na sio kitaalam.
Anyway sijitaji kubishana na wewe nakuheshimu sana
Na Riz 1, na Godwin Mollel wanaongea na simu nimesikia wakisema niandalie chapati na mayai mawili.cameraman kamzoom mbunge mmoja yupo busy instagram hana muda wa kusikiliza mauzo ya nchi, anaonekana kashavuta chake huyu
Mna bunge ?Hivi Bunge letu lina jipya na cha maana kweli ukiondoa compliance ya Katiba? Nina maanisha does it meet objectives of its establishment or it merely the matter of Katiba compliance?
Hivi Mbowe kuhusu Uzanzibar na Wazanzibar alikusudia nini?Ni lini ccm ilitoa maelezo mabaya ? subiri utekelezaji sasa
Wabunge wengi ni Vimeo tu, walibebwa na mbeleko ya dola kwenye uchaguzi wa 2020.Hii hoja Muhimu lakini naona karibu na nusu ya wabunge hawajahudhuria….hawapo serious ???
Mkuu tuache utani DPworld wako vizuri mizigo itamwagika sijui kama hiyo Mandela Road itapitika.Lengo ni kuwa DP world atamiliki Bandari zote, ndio maana wanasema kuwa DP World atahusika kutafuta masoko etc
Mlishangilia uhuni haya kuleni sasa matunda ya uhuni wenyewe2020 wakati wabunge wanapita hovyohovyo, sikuwahi kujua kama hili bunge litakuja kuwa la kipumbavu namna hii.
Swala si mizigo kumwagika, je tutafaidika vp?Mkuu tuache utani DPworld wako vizuri mizigo itamwagika sijui kama hiyo Mandela Road itapitika.
Mbowe ana hoja....kumteua mzanzibari kwenye wizara zisizo za muungano kunazua hoja......Pili Mbowe alikosea kuweka mambo ya Uzanzibar na Wazanzibar
Muulize Fatuma KarumeHivi Mbowe kuhusu Uzanzibar na Wazanzibar alikusudia nini?
Ndo ishatoka hiyo.Mbowe ana hoja....kumteua mzanzibari kwenye wizara zisizo za muungano kunazua hoja......
Wewe ulishangilia uchafuzi wa uchaguzi wa mwaka 2020, matokeo yake ndio haya.Eti yamesikia watu wanalalamikia bandari Kuuzwa, na yenyewe yanaona mada ni Kuuzwa