Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Maana DP World wanapewa Berth 1-7 tu
8-11 zinabaki TPA kama kawaida

Mafuta, Gesi, Magari yanabaki TPA

Ulinzi unabaki kwa Tanzania

Mtwara na Tanga hazitahusika
Iyo namba moja mpaka saba wanachokishusha unkijua any birht can change according to ship queque...... Tushapigwa
 
Swala si mizigo kumwagika, je tutafaidika vp?
Ngoja MOU itoke bungeni ndio tukae tuone Serikali itapata fedha kiasi gani na Bandari itaboreshwa na kuendelezwa kwa kwa kiwango gani na muda wa mkataba utakuwa ni miaka mingapi

Mimi ni mdau wa sekta ya usafirishaji mizigo itakuwa ni mingi na ajira zitaingia sokoni.
 
Ndo ishatoka hiyo.
Alipaswa tumia akili kuliko mihemko, azimio linapitishwa na hakuna atachofanya
Kama Azimio litakuwa na dosari atakayeumia ni Watanganyika na sio Mbowe pekee.
 
Mbowe yupo sahihi
Mikataba ya hovyo na waarabu imeingizwa na viongozi wa visiwani
Mwinyi-loliondo na samia suluhu-bandari
Angekaa kimya maana hakuna anachoweza badilisha
 
DP world ndio kampuni pekee yenye uzoefu katika uwekezaji wa Bandari, imewekeza katika nchi 6 ktk bara la Afrika na pia katika Bara la ulaya.

hii ni vita kati ya Makampuni mengine yaliyo kosa nfasi ya kuwekeza katik bandari yetu dhidi ya DP World.

tuwe makini tusicheze ngoma tusio ijua.
DP world ndio kampuni sahihi katika uwekezaji wa Bandari yetu.
Na ina zaidi ya kesi 20 kwenye nchi walizowekeza
 
Back
Top Bottom