Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Kujadili kitu kilichokwisha pitishwa ni ujinga.

Hayo yanayo ongelewa hapo ni changa la macho sio ualisia subiri waingie ndo utajua so long as hakuna kipengele cha ukomo hapo hana kitu.

Watanzania wanataka mkataba uwe kwa kiswahili na kiingereza wausome wote tipewe mwezi tu kukusanya maoni ya wananchi sio huo upuuzi wa watu wachache
 
Kwahiyo mwekezaji alete mitambo yako na kuwekeza pesa zake, kisha management ibaki kuwa ileile ya TPA ambayo mnakubali kuwa imefeli?

YaanI DP aje kuoperate chini ya management iliyofeli? Tumia kichwa chako vizuri.

Hata kusikiliza nimeshindwa, mauongo tu wanasoma hao, wame edit kila kitu
 
Mh Samia ni Rais mwanamke toka Tanzania tupate uhuru na imezoeleka kwenye jamii zetu za ki Africa kwamba mwanamke hawezi kuwa Kiongozi mzuri na Toka amechaguliwa nia yake kubwa inaonekana ni kutengeneza jina na kuweka historia kuwa mojawapo wa Rais Bora kutawala Tanzania Mungu atupe uhai tujionee matokeo yake.
 
Kwahiyo mwekezaji alete mitambo yako na kuwekeza pesa zake, kisha management ibaki kuwa ileile ya TPA ambayo mnakubali kuwa imefeli?

YaanI DP aje kuoperate chini ya management iliyofeli? Tumia kichwa chako vizuri.
Atumie kichwa ambacho hana, usitake ajitutumue kwenye hakuna. Majibu yake tu yanaonesha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alianza Nyerere huo utamaduni.

Hakuna sheria inayokataza. Mzanzibari pia ni Mtanzania sawa na Mtanzania mwengine.

Tuache ubaguzi, tupinge kuwabagua wengine na tupinge kubaguliwa.
Huo ndio ukweli hakuna ubaguzi hapo.
 
Mbowe alikosea sana na hili litaondoa ule ukaribu wake na Samia, hivyo asitegemee tena kupata chochote cha maana.
Alikosea
Alikosea
 
Back
Top Bottom