Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Nani huyo!?Wanapeana rushwa ya pesa bungeni, wananchi wake jimboni wanataabika yeye anatoa elfu kumi Kwa mbunge mwenzake mwenye mshahara kedekede! Rushwa ni dhambi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani huyo!?Wanapeana rushwa ya pesa bungeni, wananchi wake jimboni wanataabika yeye anatoa elfu kumi Kwa mbunge mwenzake mwenye mshahara kedekede! Rushwa ni dhambi
Kwa nini bandari za bara tu?Mbowe ni bogus.
PumbafuMbowe alikosea sana na hili litaondoa ule ukaribu wake na Samia, hivyo asitegemee tena kupata chochote cha maana.
Alikosea
Alikosea
Ukisoma taarifa ya ACT wameeleza vizuri sana.Mbowe ni bogus.
Sabato NjemaPumbafu
Ulitegemea ukwame ?....Yaani Ccm waikwamishe Ccm ?dah huu mkataba unapita
Nasubiri nondo za PhD Msukuma akidadavua HGA
Hivi bado kuna watu walidhani labda haitapita bungeni,kwamba hawawajui wabunge wa sisiemu au kujisahaulishaTegemeeni kusikia NDIOOOOOOOOOO kisha meza kugongwa na hoja itapitishwa.
Kitu kilichokisha kusainiwa hakiwezi kurudi nyuma kirahisi katika namna ambayo wengi mlitegemea. Kilichopo sasa ni kutafuta namna ya kuihalalisha kwa namna yoyote ile.
Taarifa inatakiwa itole baada ya kusikiliza hawa waropokaji bungeni.Ukisoma taarifa ya ACT wameeleza vizuri sana.
Chadema pamoja na kuwa na wanasheria hawakukaa kuja na taarifa rasmi
Yaani atanyima ruzuku sio ?au ziara za ikulu zitaisha ?........Mbowe alikosea sana na hili litaondoa ule ukaribu wake na Samia, hivyo asitegemee tena kupata chochote cha maana.
Alikosea
Alikosea
Sisi Chadema tunasema bila Katiba mpya hakuna Uchafuzi.Mi si mwana ccm ila nimeongea uhalisia
Uchaguzi 2025 katiba itakuwa bado, mkisusa ACT wanachukua sehemu yenu