Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Hivi huwezi kuingia mkataba bila makubaliano au ndo tumeshauzwa tunarusha miguu Tu.
 
Mi si mwana ccm ila nimeongea uhalisia

Uchaguzi 2025 katiba itakuwa bado, mkisusa ACT wanachukua sehemu yenu
 
"Eti ukiona manyoya jua kaliwa" hii misemo huwa ni ya kijinga ya kutiana wasiwasi.
 
Silaa anasema ni ngumu watanzania kwa mtu asiye mwanasheria kutofautisha kati ya agreement na contracts….

Lakini Silaa amethibitisha kuwa tulichokuwa tunajadili huku nje kinachozunguka ni cha kweli hila watu wanapotosha kwakuwa watu hawana uelewa wa sheria na tafsiri….
 
U
Nasubiri nondo za PhD Msukuma akidadavua HGA

Tegemeeni kusikia NDIOOOOOOOOOO kisha meza kugongwa na hoja itapitishwa.

Kitu kilichokisha kusainiwa hakiwezi kurudi nyuma kirahisi katika namna ambayo wengi mlitegemea. Kilichopo sasa ni kutafuta namna ya kuihalalisha kwa namna yoyote ile.
Hivi bado kuna watu walidhani labda haitapita bungeni,kwamba hawawajui wabunge wa sisiemu au kujisahaulisha
 
Ukisoma taarifa ya ACT wameeleza vizuri sana.

Chadema pamoja na kuwa na wanasheria hawakukaa kuja na taarifa rasmi
Taarifa inatakiwa itole baada ya kusikiliza hawa waropokaji bungeni.
Kwa Bunge hili hamna kitu. Kwa nn hawajikiti kujadili vifungu vya mkataba/makubaliano wanakimbilia kuchamba maoni ya wananchi?
Demokrasia iko wapi?
 
Mbowe alikosea sana na hili litaondoa ule ukaribu wake na Samia, hivyo asitegemee tena kupata chochote cha maana.
Alikosea
Alikosea
Yaani atanyima ruzuku sio ?au ziara za ikulu zitaisha ?........
 
Back
Top Bottom