Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Yaaniii I.....nap wakatafute hela sasa ....unadhani wana mitaji kumbe nao wanakwenda kutafuta
 
Azimio la Bunge kuhusu Pendekezo la Kuridhiwa Mkataba baina ya Serikali ya Jamhuri ya Mungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai kwa lengo la kuanzisha Ushirikiano wa Kiuchumi na Kijamii katika Uendelezaji wa Maeneo ya Bandari Nchini leo Juni 10, 2023.

Hivi DUBAI ni serekali …… tunaingiaje mkataba na jimbo la UAE na kusema ni serekali ??? Hivi Dubai ni sorveign?
 
Azimio la Bunge kuhusu Pendekezo la Kuridhiwa Mkataba baina ya Serikali ya Jamhuri ya Mungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai kwa lengo la kuanzisha Ushirikiano wa Kiuchumi na Kijamii katika Uendelezaji wa Maeneo ya Bandari Nchini leo Juni 10, 2023.

Leo ni siku ya huzuni kwa wapenda Tanganyika
 
Ina maana haya mabadiliko yalishindwa kufanyika kwenye uongozi wa uliopo sasa?

Kupunguza muda wa kukaa nangani, hili nalo tulishindwa kuli manage kweli?
Hivi ni kweli hujui kwamba bandarini upumbavu mwingi kwa zaidi ya miaka 20 Sasa!?
 
Back
Top Bottom