Jane Lowassa
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,955
- 9,041
Yaani huyu anaeongea kama li_robot la Elon Musk. LIMEZUBAAAAA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaaan ni Kama hana skills za usomajiiInfact huyu mwenyekiti hawezi kusoma, full stop! hana zile reading skills
Kwani wewe ulitegemea nini? Mlibeza wapinzani mbowe kufungwa miezi 9 jela mko kimya na yeye kachoka kila mtu apambane vya kwake.Kuna makofii yanatiaa hasira hukoo bungenii...Ni kwamba hili Jambo limepitaaa
Vipi uligombea ubunge ukapigwa chini nini mkuu? Pole sana kubali yaishe tu mkuu! Gombea tena 2025 tuone kama utatoboa au utaendeleza unyumbu wako tu!!Kuuzwa kwa Bandari ya Dar es salaam ni dhambi ya JPM ya kuokota watu mtaani na kuwapa ubunge wa bure leo wanauza nchi.
Ha ha haaaa.Hivi Bunge letu lina jipya na cha maana kweli ukiondoa compliance ya Katiba? Nina maanisha does it meet objectives of its establishment or it merely the matter of Katiba compliance?
Sijawahii kubezaa upinzanii ktk maisha yanguu yoteee hiyo dhambi Sina mimiiKwani wewe ulitegemea nini? Mlibeza wapinzani mbowe kufungwa miezi 9 jela mko kimya na yeye kachoka kila mtu apambane vya kwake.
Kwanini wasiwape mtwara na Tanga Illi waziboreshe?Maana DP World wanapewa Berth 1-7 tu
8-11 zinabaki TPA kama kawaida
Mafuta, Gesi, Magari yanabaki TPA
Ulinzi unabaki kwa Tanzania
Mtwara na Tanga hazitahusika
Inashangazaaa mnooHata kusoma vizuri hawezi. Anatetemeka tu