Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Kuuzwa kwa Bandari ya Dar es salaam ni dhambi ya JPM ya kuokota watu mtaani na kuwapa ubunge wa bure leo wanauza nchi.
Vipi uligombea ubunge ukapigwa chini nini mkuu? Pole sana kubali yaishe tu mkuu! Gombea tena 2025 tuone kama utatoboa au utaendeleza unyumbu wako tu!!
 
Back
Top Bottom