Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Mwenyekiti anasema eti ibara 21 hadi 23 imefanyiwa uchambuzi na kamati kuwa serikali ikiwa makini katika utekelezaji inaweza ikapata upenyo wa kuvunja mkataba!

Bado najiuliza kweli mwenyekiti wa kamati kweli aliusoma vizuri mkataba?
Hao jamaa ni washenzi sana, yani wanasema wazi kama serikali ikipata upenyo wa kuvunja mkataba, maana yake wanakiri wameshajifunga!.
 
Watanzania wengi haswa vijana Wana Sifa hizi:

  • Wavivu wa kusoma.
  • Wagumu kuelewa.
  • Wepesi kufanganyika
  • Fuata mkumbo.

Leo wakuelewa wataelewa.
Kuelewa nini, hoja ni kuwa DP ni kampuni ya Seriakli UAE kama ilivyo Serikali yako kama wao waliweza kutumia resources zao na kuanzisha Kampuni ya kusaidia bandari zao na kufanya biashara wewe Tanzania unashindwa nini?
 
Kumbe sio kupewa madali yote ni sehemu tu ya badali, na serikali pia itamiliki sehemu kwa mjibi ya waziri. Gati 8 hadi 9 gati ya magari hayako kwenye mkataba, hauna uhusiano na bandali ya tanga na mtwara.
umenikumbusha hadithi moja binti aliambiwa kwamba mi naweka nichwa tena nagusa tu wala usiogope, akashitukia kitu kizima kimezama ndani. achana na pesa weweee.
 
Mwenyekiti anasema eti ibara 21 hadi 23 imefanyiwa uchambuzi na kamati kuwa serikali ikiwa makini katika utekelezaji inaweza ikapata upenyo wa kuvunja mkataba!

Bado najiuliza kweli mwenyekiti wa kamati kweli aliusoma vizuri mkataba?
Kwamba mwenyekiti wa kamati hakuusoma vizuri mkataba Ila wewe ndo umeusoma vizuri!!?...we ni punguani,na mpo wengi kweli
 
Back
Top Bottom