Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Azimio la Bunge kuhusu Pendekezo la Kuridhiwa Mkataba baina ya Serikali ya Jamhuri ya Mungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai kwa lengo la kuanzisha Ushirikiano wa Kiuchumi na Kijamii katika Uendelezaji wa Maeneo ya Bandari Nchini leo Juni 10, 2023.
Wamejipanga huko kwenye chamaWabunge mmeamua kuwasaliti watanzania kwa kuwatumikia mafisadi ya kiarabu?
Mungu anawaona
Huna akiliMaana DP World wanapewa Berth 1-7 tu
8-11 zinabaki TPA kama kawaida
Mafuta, Gesi, Magari yanabaki TPA
Ulinzi unabaki kwa Tanzania
Mtwara na Tanga hazitahusika
Sio uyo tu ipo siku ata waliomtuma yatafukuliwa makabuli yao na kuchapwa viboko,Mbarawa ndio anastahili kunyongwa kabisa, huyo mjinga ndie alieweka saini yake kwenye ule mkataba wa hovyo.
Mm nilijua kwamba kuna ushenzi unakuja mbele yetu.2020 wakati wabunge wanapita hovyohovyo, sikuwahi kujua kama hili bunge litakuja kuwa la kipumbavu namna hii.
Huna akiliMbona mawasilisho ya Waziri Mbalawa ni Mazuri tu tofauti na yanayoendelea na kusemwa huku mtandaoni? Hakuna baya lolote katika Mkataba huo.
Tatizo nini?Hili ni Bunge au sinema zetu?
Uzuri gani?Kitilya Mkombo ameongea vizuri sana. Bado tunasikiliza