Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Hoja ya Mbowe bado haijajibiwa kwanini bandari za Zanzibar haziko kwenye mkataba?

Hili limekuwa Azimio la kumpongeza Samia
 
Mbowe kweli kateleza, ila kuteleza kwake ni yy binafsi kwanza wadiscuss mkataba huu,hii mipasho haliisaidii taifa.

Nilitegemea hapa kungekuwa mwendo wa kurefer sheria mbalimbali za mikataba huku wakihusianisha na huu mkataba,yaani kungekuwa mwendo wa reference.
 
Hiyo kazi aliiweza TAL
 
Mbowe ana kawaida ya koropoka bila kufikiria.

Alikosea kuhusisha Wazanzibar
 
Acha wamjadili Mbowe maana ndiye aliyeingia hayo makubaliano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…