Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

[emoji1787][emoji1787]
Mkuu unajitia aibu....hakuna mkataba hapo.....

Hayo madudu yanayodajiliwa kwenye hicho msichotaka kukiita mkataba ndio hayohayo yatakayowekwa kwenye mkataba, hakuna chochote kilichopingwa wala kurekebisha. Mnaita MoU ila logically ndio makubaliano (mkataba wenyewe)

Husikii hata wabunge wako vichaa wanau-refer hivyo?


Wewe subiri mada zinalingana na udogo wa akili zako uruke nazo, hii imekupita uwezo.
 
Kwa kifupi ni kwamba hawajadili mkataba Bali wanatueleza/wanatushauri na Sisi tuwaunge mkono kwenye mambo yao yaliyokwishafanyiwa maamuzi. Upuuzi mtupu.
Sheria ya Tanzania iliyopitishwa zamani ni kuwa maridhiano yoyote ya nchi nyingine na Tanzania lazima yapite bungeni baada ya kusainiwa.
 
Kiukweli roho inaniuma sana, nimepoteza miaka 17 kuitafuta elimu halafu leo mtu anakuja kusema sina maarifa mwingine anasena nijifunze kusoma kwaana sijui kusoma. Haya bwana.
 
Mwandisi aliyepita,ametoa mapendekezo ya miaka 25 kabda hajamaliza mda umeisha
 
[emoji7]
Alhamdulillahi Mwenyezi Mungu katupenda kutupa rais mwingine mwenye maono......

#SiempreJMT[emoji120]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbunge anasema kuwambia Dubai kuwa kuna fursa nyingine anasema ni mamlaka anashindwa kujiuliza kwanini lazima tuwajuze wao?
 
Mwanaisha anatuchamba Watanzania hatujui kusoma [emoji23] na tukome kujilinganisha na Malaysia, Singapore na South Korea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…