Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

[emoji1787][emoji1787]
Mkuu unajitia aibu....hakuna mkataba hapo.....

Hayo madudu yanayodajiliwa kwenye hicho msichotaka kukiita mkataba ndio hayohayo yatakayowekwa kwenye mkataba, hakuna chochote kilichopingwa wala kurekebisha. Mnaita MoU ila logically ndio makubaliano (mkataba wenyewe)

Husikii hata wabunge wako vichaa wanau-refer hivyo?


Wewe subiri mada zinalingana na udogo wa akili zako uruke nazo, hii imekupita uwezo.
 
Kwa kifupi ni kwamba hawajadili mkataba Bali wanatueleza/wanatushauri na Sisi tuwaunge mkono kwenye mambo yao yaliyokwishafanyiwa maamuzi. Upuuzi mtupu.
Sheria ya Tanzania iliyopitishwa zamani ni kuwa maridhiano yoyote ya nchi nyingine na Tanzania lazima yapite bungeni baada ya kusainiwa.
 
Kiukweli roho inaniuma sana, nimepoteza miaka 17 kuitafuta elimu halafu leo mtu anakuja kusema sina maarifa mwingine anasena nijifunze kusoma kwaana sijui kusoma. Haya bwana.
 
Mwandisi aliyepita,ametoa mapendekezo ya miaka 25 kabda hajamaliza mda umeisha
 
Imagine,

Bandari ya Tanga kwa kwa asilimia kibwaniwe kwa ajili ya Uganda na Sudan ya Kusini tu.

Bandari ya Dar kwa asilimia kubwa iwe kwa ajili ya Rwanda na Burundi tu.


Bandari ya Mtwara kwa asilimia kubwa iwe kwa ajili ya Malawi na Zambia tu.


Bandari ya Bagamo kwa asilimia kubwa iwe kwa ajili ya Congo na Tanzania tu.

Mama anauoiga nwingi, tena sana.


Miaks 5 kuanzia leo tutegemee bajeti yetu kuwa surplus.
[emoji7]
Alhamdulillahi Mwenyezi Mungu katupenda kutupa rais mwingine mwenye maono......

#SiempreJMT[emoji120]
 
Tumeshindwa kwasababu watalaamu na wenye akili hawako kwenye circle ya uongozi wa nchi, uongozi umeshikwa na wengi wasiokuwa na akili na mawazo bunifu.

Mtu kutoka kuwa msambaza chai maofisini hadi kuwa mkulu wa nchi ataweza nini? Wabunge 80% ni la saba na form four division IV ya 28 wengi, na hata wanaosemekana kuwa ni wasomi wengi walinunua majina ya wenye akili kama Madelu.


Si kweli kwamba Watz hatuna akili kiasi hicho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbunge anasema kuwambia Dubai kuwa kuna fursa nyingine anasema ni mamlaka anashindwa kujiuliza kwanini lazima tuwajuze wao?
 
Mwanaisha anatuchamba Watanzania hatujui kusoma [emoji23] na tukome kujilinganisha na Malaysia, Singapore na South Korea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom