Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Hilo ni bunge kazi ni kutunga sheria
 
Mbunge anasema kuwambia Dubai kuwa kuna fursa nyingine anasema ni mamlaka anashindwa kujiuliza kwanini lazima tuwajuze wao?

Na kulikuwa na haja gani ya kuwepo kwa hiyo clause
 
Tumeshindwa kwasababu watalaamu na wenye akili hawako kwenye circle ya uongozi wa nchi, uongozi umeshikwa na wengi wasiokuwa na akili na mawazo bunifu.
Tokea Uhuru Wataalamu ndio wameongoza kutafuna mali za umma.

Wewe pia ukipewa ofisi utaiba tu.
 
Yaani tunavyochambwa kama namuona mange uko
Kwa bunge hili, ninastahili kuwa mbunge, na ninatoshaa haswaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Tunachambwaa jaman khaaaah
 
Hata mimi nimesikitika nilitamani apewe mda zaidi ase angefungua vichwa watu wengi juu ya huo mkataba cha ajabu wame mzonga zonga tu ashindwe kuongea.
 
Kishikwambi cha mbunge wa iringa mjini Jesca msambatavangu ni KICHAFU kava CHAFU kweli, ni jinsi gani hawa watu ni wachafu kiakili mpaka mwili wao na sijui huko chini kukoje
Huyu itakuwa ni mwalimu by professional huyu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Vipi bandari za zanzibar?
 
Bandari kavu Rwanda ipo under operation na DP WORLD na sisi tunataka kumpa DP WORLD bandari zetu zote apakue mzigo bila sisi kujua. Aje apakue shehena za silaha apeleke kwenye bandari zake kavu huko Rwanda. Najaribu kuwaza usalama wetu utakuwaje na TISS yetu iliojaza UVCCM wa aina ile???????

Nani amewaza kama mimi?????
 
Una hoja usikilizwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…