Kommando muuza madafu
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 3,216
- 7,254
Bro hukuandika chochote cha maana zaidi ya kujisifia tu. Nimekuambia, niambie na nionyeshe nini tatizo kwenye huo mkataba We unaleta ngonjera na majigambo kuwa una jicho la kiroho.Pitia post zangu tangu kipindi cha mwendazake ndo utatambua 47 mbatizaji ni nani katika ulimwengu wa Kiroho siwezi fuata mkumbo na haitatokea ,tatizo mnaangalia aya mambo kwa jicho moja wajomba, kama yule Mbunge msukuma anaekuja na viclip vya kuonesha apartment ,ndo nyie
Mfano uyo msukuma aliemwambia mtu akiwa na pesa haongeki nani?
Linapo kuja swala gum kama hili hapaitaji mzaa
Aibu gani?Aibu Tupu Hii Tanzania
Emu sema unachokifahamu wwUnaongea usichoelewa
Lazima iwe hivyo, kwa sababu aliowategemea walishamsaliti; ata ungekuwa wewe ungefanya nini?Hata Mbowe yuko kwenye maridhiano
TICTS wamezulumu sana Watanzania.Hilo ni muhimu storage ilikua kero sana angalau muwekezaji mwenye pesa kaja ataweza kuhamisha mzigo faster
Mafua kaka...amemeza zile dawa za "chengachenga"....Zamu ya Mpina ikifika mtaniambia
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Mbunge wangu ajue tu kuwa nafatilia kwa makini sana kutoka Kijiji cha Nyankoronko kwa uzuri kabisa.
View attachment 2652169
Hovyo huyo ndugu yetu....Mpina ni buyu tu
Mnada mara nyingi husababishwa na Kodi za tra, ama nakosea?Upigwaji mnada wa mizigo Bandarini itakuwa historia gharama za handling zitapungua maradufu.
Wapi umesoma au umeona kuwa bandari imekodishwa?Maslahi ya nchi yepi? Ya kukodisha bandari?
Umenena...Nilichogundua tatizo kubwa hapa ni Uarabu wa DPWorld sioni zaidi ya kingine.
Inawezekana mkuu huko sahihi yaani ugonjwa huu wa unyonge(inferiority feelings) Ni muda sasa tuondokane na hizi fikra zisizo kua na maana . Mabus yao tunayapanda,bidhaa wanazo tengeneza tunazitumia pia.Mwenye fikra za udini na uarabu sio wenye tija.Tatizo ni mwarabu,na tatizo siyo uarabu wake Bali dini yake...watu wamejivika hofu tangu 'kale' na misaada ya mwarabu kwa kuwa dini yao wao ilisambazwa kwa misaada ya masweta na peremende,wanaogopa influence ya mwarabu
Haya ndiyo mambo...Hilo ni muhimu storage ilikua kero sana angalau muwekezaji mwenye pesa kaja ataweza kuhamisha mzigo faster
Huu mkataba ni kamba ya kujinyongea kwa Tanzania. Mkataba hauna muda wa mwisho wala kipindi cha review. Ni mkataba wa milele. Huu ni uwendawazimu wa hali ya juu sana.Bro hukuandika chochote cha maana zaidi ya kujisifia tu. Nimekuambia, niambie na nionyeshe nini tatizo kwenye huo mkataba We unaleta ngonjera na majigambo kuwa una jicho la kiroho.
Ni shida. Upande mmoja ni serikali (ikiwakilishwa na Mbarawa), upende mwingine ni Wananchi (wakiwakilishwa na wabunge)... Sasa watu wanategemea serikali ijchome yenyewe - Tegemeo letu lilikuwa ni wabunge, kujua upana na uzito wa swala zima, na kuiwajibisha serikalai ipasavyo. Hao wabunge, hawapo!Napenda mngesoma mkataba vizuri kabisa badala ya kusikiliza porojo za mbarawa labda watuambie kuwa ule mkataba ulio sainiwa ni fake
Ahsante,ila kauli hii sio busaraKanye ulale
TICTS ilikuwa ya Muhaya na Mhindi hatukuzisikia hizi kelele.Umenena...
Huu ndio ukweli wenyewe....[emoji1787][emoji1787]
Mambo ya roho hayaonekani....ukiona watu wanajificha sana humo kila hoja ujue ni MABUYU tu vichwani.....[emoji1787][emoji1787]Bro hukuandika chochote cha maana zaidi ya kujisifia tu. Nimekuambia, niambie na nionyeshe nini tatizo kwenye huo mkataba We unaleta ngonjera na majigambo kuwa una jicho la kiroho.