Kommando muuza madafu
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 3,216
- 7,254
Bro hukuandika chochote cha maana zaidi ya kujisifia tu. Nimekuambia, niambie na nionyeshe nini tatizo kwenye huo mkataba We unaleta ngonjera na majigambo kuwa una jicho la kiroho.Pitia post zangu tangu kipindi cha mwendazake ndo utatambua 47 mbatizaji ni nani katika ulimwengu wa Kiroho siwezi fuata mkumbo na haitatokea ,tatizo mnaangalia aya mambo kwa jicho moja wajomba, kama yule Mbunge msukuma anaekuja na viclip vya kuonesha apartment ,ndo nyie
Mfano uyo msukuma aliemwambia mtu akiwa na pesa haongeki nani?
Linapo kuja swala gum kama hili hapaitaji mzaa