Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Pitia post zangu tangu kipindi cha mwendazake ndo utatambua 47 mbatizaji ni nani katika ulimwengu wa Kiroho siwezi fuata mkumbo na haitatokea ,tatizo mnaangalia aya mambo kwa jicho moja wajomba, kama yule Mbunge msukuma anaekuja na viclip vya kuonesha apartment ,ndo nyie

Mfano uyo msukuma aliemwambia mtu akiwa na pesa haongeki nani?

Linapo kuja swala gum kama hili hapaitaji mzaa
Bro hukuandika chochote cha maana zaidi ya kujisifia tu. Nimekuambia, niambie na nionyeshe nini tatizo kwenye huo mkataba We unaleta ngonjera na majigambo kuwa una jicho la kiroho.
 
Tatizo ni mwarabu,na tatizo siyo uarabu wake Bali dini yake...watu wamejivika hofu tangu 'kale' na misaada ya mwarabu kwa kuwa dini yao wao ilisambazwa kwa misaada ya masweta na peremende,wanaogopa influence ya mwarabu
Inawezekana mkuu huko sahihi yaani ugonjwa huu wa unyonge(inferiority feelings) Ni muda sasa tuondokane na hizi fikra zisizo kua na maana . Mabus yao tunayapanda,bidhaa wanazo tengeneza tunazitumia pia.Mwenye fikra za udini na uarabu sio wenye tija.
 
Napata shaka sana na hawa wabunge wetu. Nimesikia baadhi wakitamka

"....... nchi ya Dubai". Hivi Dubai ni nchi?
 
"Mkataba huu utakuwa hai mpaka pale ambapo shughuli za miradi zitasitishwa, au kuisha kwa muda wa mikataba ya nchi mwenyeji na mikataba ya miradi, msingi wa mkataba huu kuendana na mikataba ya miradi ni kutokana na kwamba unaweka msingi unaowezesha kuingia na kutekelezwa kwa mikataba hiyo nchini"-Prof.Makame Mbarawa - Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi

#ITVUpdates
 
Bro hukuandika chochote cha maana zaidi ya kujisifia tu. Nimekuambia, niambie na nionyeshe nini tatizo kwenye huo mkataba We unaleta ngonjera na majigambo kuwa una jicho la kiroho.
Huu mkataba ni kamba ya kujinyongea kwa Tanzania. Mkataba hauna muda wa mwisho wala kipindi cha review. Ni mkataba wa milele. Huu ni uwendawazimu wa hali ya juu sana.
 
Napenda mngesoma mkataba vizuri kabisa badala ya kusikiliza porojo za mbarawa labda watuambie kuwa ule mkataba ulio sainiwa ni fake
Ni shida. Upande mmoja ni serikali (ikiwakilishwa na Mbarawa), upende mwingine ni Wananchi (wakiwakilishwa na wabunge)... Sasa watu wanategemea serikali ijchome yenyewe - Tegemeo letu lilikuwa ni wabunge, kujua upana na uzito wa swala zima, na kuiwajibisha serikalai ipasavyo. Hao wabunge, hawapo!
 
Bro hukuandika chochote cha maana zaidi ya kujisifia tu. Nimekuambia, niambie na nionyeshe nini tatizo kwenye huo mkataba We unaleta ngonjera na majigambo kuwa una jicho la kiroho.
Mambo ya roho hayaonekani....ukiona watu wanajificha sana humo kila hoja ujue ni MABUYU tu vichwani.....[emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom