Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Mbona viti vipo tupu WABUNGE Wameenda wapi? Au wamewaacha darasa la Saba ndio Kila siku wanaongea na kukandya wasomi?
Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni kile kinachobakia baada ya kuondoa yote uliyofundishwa darasani.


[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tegemeeni kusikia NDIOOOOOOOOOO kisha meza kugongwa na hoja itapitishwa.

Kitu kilichokisha kusainiwa hakiwezi kurudi nyuma kirahisi katika namna ambayo wengi mlitegemea. Kilichopo sasa ni kutafuta namna ya kuihalalisha kwa namna yoyote ile.
 
Hili Bunge linaenda kuandika historia mbaya zaidi kuwahi kutokea au linaenda kufanya tukio la kishujaa. Kila dalili ni Bunge kuingia kwenye historia mbaya!

Mh Tulia is very young kuingia kwenye uchafu huu.
 
Ina maana haya mabadiliko yalishindwa kufanyika kwenye uongozi wa uliopo sasa?

Kupunguza muda wa kukaa nangani, hili nalo tulishindwa kuli manage kweli?
 
Napenda kufahamu akidi halisi ya wabunge walio ndani ya bunge kupitisha huu mswaada

Nakumbuka ya Simbachawene akiwa waziri wa madini na nishati,alipitisha mswaada bungeni kwa wabunge 60 tu na azimio likapita,
Hii nchi hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…