KING KIGODA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2018
- 3,893
- 3,145
Albert Einstein aliwahi kuulizwa akili ni nini? What is intellect? Akasema akili ni kile kinachobakia baada ya kuondoa yote uliyofundishwa darasani.Mbona viti vipo tupu WABUNGE Wameenda wapi? Au wamewaacha darasa la Saba ndio Kila siku wanaongea na kukandya wasomi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]