Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

[emoji7]
 
Kwa hizi kauli zake hapa mwisho basi hili bunge ni takataka tu.

Eti bunge ni la CCM na hakuna mbunge anaeweza kupinga hoja ya mama samia?

Hili bunge ni takataka kabisa.
Eti

"Anaepinga atakuwa hajitaki"
 
Bora nikamwagilizie nyanya zangu kuliko kusikiliza huu unyoko nyoko.
 
DP WORLD wanakwenda kukuongezea bajeti yako ya BIA....uchumi unakaribia kupaa.....utazioga CIROC bwasheee [emoji1787][emoji1787]
 
2020 wakati wabunge wanapita hovyohovyo, sikuwahi kujua kama hili bunge litakuja kuwa la kipumbavu namna hii.
Wee unafikir ile hali ya nireteeeenii gwajimaaaa nireteeeenii gwajimaaaa nireteeeenii gwajimaaaa ilikua ya kawaida? Ile ilikua kuleta wabunge ambao watapitisha ule mpango mahsusi chaap, na madhara yake ndo haya!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…