Mafweza style,Jecha style,itafuatia Mkulima/Kalima styleπππHiyo 2025 ccm bye bye kwa uchaguzi upi? Ccm watatumia Magufuli style kubaki madarakani, labda tuwe tayari kwa machafukoMafwe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Napata shaka sana na hawa wabunge wetu. Nimesikia baadhi wakitamka
"....... nchi ya Dubai". Hivi Dubai ni nchi?
Tubaki na majambazi ya CCMWamekipiga pini kisisajiliwe,SASA kitapenyaje!!?
Bora nikamwagilizie nyanya zangu kuliko kusikiliza huu unyoko nyoko.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]TICTS ilikuwa ya Muhaya na Mhindi hatukuzisikia hizi kelele.
Wabunge wetu na hata spika wanaita NCHI YA DUBAI.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni jiji ndani ya falme za kiarabu za Emirate....
Hakika....Hapana storage ni kubwa na inahesabika kwa cubic meter regardless of the value TPA walikua wezi wakupitiliza bora tupate hao wapya,
Mkuu kwani c tunaangalia awe mchina, mrusi, mmanga, au Afghanistan wauziwe serikali yote tuu!!Halafu chama gani mbadala cha kuchukua dola!!?
Lini mmekiandaa Mkuu!!?
Ngoja tuone!
Unafikiri ni wote Bas wezi!!!?kuna kakundi tu FULANI kapo,nashangaa vipepeo hawasafishi wezi!!!Tubaki na majambazi ya CCM
Simlaumu mzee wa bwax cz hii ni slogan ya kila mwanaccm kwa mwenyekiti wake!!Waitara anasema bunge ni la ccm na hakuna wa kupinga hoja ya mama samia.
Atakaepinga atakuwa hajitaki.
Eti Mbowe achukuliwe hatua.
Kwamba samia aitwe mama wa taifa.
Waitara amevimbiwa biriani la Dubai.
Wewe hukuwapigia kura na wenzako pia hawakuwapigia?!!!Hawa wabunge wanatuambia tuendelee kuwaamini kama tulivyowaamini tukawapeleka bungeni, nimebaki najiuliza kwani sisi ndo tuliwaweka bungeni???? Wengi wameekwa na vyama vyao Tena kwa upendeleo
Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
[emoji7]Jambo limeisha hili,tusubiri utekelezaji
Tulia Chief, utakuja kuelewa hapo baadae.Yani mtu anaejaribu kuoinga anapigwa taarifa hovyohovyo.
I na awezekana kachanganya na Chingiri la Mwibara πππWaitara anasema bunge ni la ccm na hakuna wa kupinga hoja ya mama samia.
Atakaepinga atakuwa hajitaki.
Eti Mbowe achukuliwe hatua.
Kwamba samia aitwe mama wa taifa.
Waitara amevimbiwa biriani la Dubai.
Spika mwenyewe anamkatisha kila mara. Yani huyu spika ni famba kabisa.Yani mtu anaejaribu kuoinga anapigwa taarifa hovyohovyo.