Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Hiyo 2025 ccm bye bye kwa uchaguzi upi? Ccm watatumia Magufuli style kubaki madarakani, labda tuwe tayari kwa machafukoMafwe
Mafweza style,Jecha style,itafuatia Mkulima/Kalima style😂😂😂
 
Bora nikamwagilizie nyanya zangu kuliko kusikiliza huu unyoko nyoko.

Sio unyako nyoka nina kuhakikishia hizi kelele zilizo zalishwa na huu ubia huku mitaani zimepanda mbegu muhimu sana kwa Watanzania hasa Watanganyika. Hili linaweza lisionekane leo, kesho hata kwesho kutwa "future" generatios litachipuka tu na litamea. Pasi shaka yeyote na kuhakikishia hilo.

Michango ya Waheshimiwa sana Wabunge ndio imeishia hakuna aliyethubutu kujibu lile swali muhimu na kuu"Kwa nini bandari za Tanganyika tuuuu?"!!!
 
Waitara anasema bunge ni la ccm na hakuna wa kupinga hoja ya mama samia.

Atakaepinga atakuwa hajitaki.

Eti Mbowe achukuliwe hatua.

Kwamba samia aitwe mama wa taifa.

Waitara amevimbiwa biriani la Dubai.
 
Huu mkataba angefanya kama Magufuli tu kimya kimya Samia ajue anaongoza Zoo lililojaa Masokwe.
 
Hapana storage ni kubwa na inahesabika kwa cubic meter regardless of the value TPA walikua wezi wakupitiliza bora tupate hao wapya,
Hakika....

Tuanze ukurasa mpya....bandari inaweza kutupa nusu ya bajeti ya nchi ya kila fiscal year.....
 
Mhuni 1 tena??
Taarifa inakuja na vichambo tena kutoka kwa mwanaume heheeee
 
Waitara anasema bunge ni la ccm na hakuna wa kupinga hoja ya mama samia.

Atakaepinga atakuwa hajitaki.

Eti Mbowe achukuliwe hatua.

Kwamba samia aitwe mama wa taifa.

Waitara amevimbiwa biriani la Dubai.
Simlaumu mzee wa bwax cz hii ni slogan ya kila mwanaccm kwa mwenyekiti wake!!
 
Hawa wabunge wanatuambia tuendelee kuwaamini kama tulivyowaamini tukawapeleka bungeni, nimebaki najiuliza kwani sisi ndo tuliwaweka bungeni???? Wengi wameekwa na vyama vyao Tena kwa upendeleo

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
Wewe hukuwapigia kura na wenzako pia hawakuwapigia?!!!

Yangu nilimpigia mh.Jerry Silaha japo nami uchaguzi ujao ninataka "nimchallenge" [emoji1787][emoji1787]
 
Waitara anasema bunge ni la ccm na hakuna wa kupinga hoja ya mama samia.

Atakaepinga atakuwa hajitaki.

Eti Mbowe achukuliwe hatua.

Kwamba samia aitwe mama wa taifa.

Waitara amevimbiwa biriani la Dubai.
I na awezekana kachanganya na Chingiri la Mwibara 😂😂😂
 
Back
Top Bottom