Ni muhimili uliojishikiza kwenye ule uliojichimbia kwa chini zaidi, Pascal Mayalla aliwahi kusema bunge halina meno ila likamg'ata🏃♂️🏃♂️🏃♂️Hivi Bunge letu lina jipya na cha maana kweli ukiondoa compliance ya Katiba? Nina maanisha does it meet objectives of its establishment or it merely the matter of Katiba compliance?
Sifahamu kama tuna BUNGEI au tuna matapeli. Wanasheria waende mahakamani wapinge hii kama wanaona haifai
Hoja imeungwa mkono vilivyo! Bravo Bunge la Tanzania!Azimio la Bunge kuhusu Pendekezo la Kuridhiwa Mkataba baina ya Serikali ya Jamhuri ya Mungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai kwa lengo la kuanzisha Ushirikiano wa Kiuchumi na Kijamii katika Uendelezaji wa Maeneo ya Bandari Nchini leo Juni 10, 2023.
Wananchi ndio walioamua acha ujinga! Sasa wagombea ubunge wenu walikuwa wa ovyo sana ndio maana wananchi wakawakataa. Pia kumbuka wananchi wa kawaida walimkubali sana Magufuli na ndio wapigakura siyo hawa wapiga porojo wa kwenye mitandao ya kijamii ambao wengi wao ni waharibu nchi kwa ufisadi, vyeti fake, wauza madawa ambao walidhibitiwa na mwamba Rais Magufuli ndio wenye chuki naye ukiwemo wewe mkuu!!Naona umuhimu wa wapinzani kuwapo bungeni,magufuli umetuletea balaa kwa kupitisha pitisha wabunge wa ccm kwa mabavu
Hao aliwaanda ili atawale milele. Hakujua kuwa Mungu nae analipenda sana Taifa hili, akapita naeNaona umuhimu wa wapinzani kuwapo bungeni,magufuli umetuletea balaa kwa kupitisha pitisha wabunge wa ccm kwa mabavu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mbunge wangu ajue tu kuwa nafatilia kwa makini sana kutoka Kijiji cha Nyankoronko kwa uzuri kabisa.
View attachment 2652169
Waropokaji ni wengi sana ili wafae kisiasaMbona mawasilisho ya Waziri Mbalawa ni Mazuri tu tofauti na yanayoendelea na kusemwa huku mtandaoni? Hakuna baya lolote katika Mkataba huo.
Unasikiliza maelezo ya waziri au kilichoandikwa kwenye makubaliano? Waziri anaweza kukjpa maelezo mazuri bungeni ili kinachotekelezwa ni kilichokubaliana kwa maandishiMbona maelezo ni mazuri tu
Hadi Magufuli V2.0 apatikane nchi itakuwa imebaki na raslimali magofu tu. Sidhani kama tatizo hili ni kwa sababu ya Samia, bali tatizo linatoka kwa shadow president na cabinet yak
Tegemea aseme mabaya ya Mkataba..kama unajua Kingreza upo humu we usome!Mbona mawasilisho ya Waziri Mbalawa ni Mazuri tu tofauti na yanayoendelea na kusemwa huku mtandaoni? Hakuna baya lolote katika Mkataba huo.