Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Hivi Bunge letu lina jipya na cha maana kweli ukiondoa compliance ya Katiba? Nina maanisha does it meet objectives of its establishment or it merely the matter of Katiba compliance?
Ni muhimili uliojishikiza kwenye ule uliojichimbia kwa chini zaidi, Pascal Mayalla aliwahi kusema bunge halina meno ila likamg'ata🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Kama serikali inakiri kwamba haiwezi hawana uwezo wa kusimamia rasimali za Nchi na kuamua kuwapa wageni waje wazisimamie basi ni wazi kua hata hao Viongozi wa Serikali hawana uwezo wa kuongoza Nchi na kusimamia rasilimali ni vyema na wao waitaarifu Uingereza kurudisha GAVANA aje KUTAWALA TENA TANGANYIKA.
 
Sifahamu kama tuna BUNGEI au tuna matapeli. Wanasheria waende mahakamani wapinge hii kama wanaona haifai

Labda kama umeisahau nguvu ya pesa katika nchi masikini kama TZ, mwanasheria gani mwenye ushawishi ambaye atapewa 1B (kwa mfano) kisha akukumbuke wewe huko uswekeni, tena katika jambo ambalo anajua kabisa litapita tu hata baada ya yeye kwenda kupiga kelele mahakamani?

Viongozi wote wa TLS na majaji wote wameshashiba, kwahiyo sahau kuhusu hilo.
 
Ujinga huu.

Ingekua hao Dp wanaleta teknolojia ambayo hatuwezi kuipata hapo sawa.

Ila pesa tunaweza pata na wataalam tunao.

Kwanini tunafanya mambo kama walemavu wa akili lakini??
 
Azimio la Bunge kuhusu Pendekezo la Kuridhiwa Mkataba baina ya Serikali ya Jamhuri ya Mungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai kwa lengo la kuanzisha Ushirikiano wa Kiuchumi na Kijamii katika Uendelezaji wa Maeneo ya Bandari Nchini leo Juni 10, 2023.


Hoja imeungwa mkono vilivyo! Bravo Bunge la Tanzania!
 
Huwa inapitishwa kwa kusema ndiyooooooooo na kupiga meza, hivyo ni ngumu kujua idadi kamili😁
 
Naona umuhimu wa wapinzani kuwapo bungeni,magufuli umetuletea balaa kwa kupitisha pitisha wabunge wa ccm kwa mabavu
Wananchi ndio walioamua acha ujinga! Sasa wagombea ubunge wenu walikuwa wa ovyo sana ndio maana wananchi wakawakataa. Pia kumbuka wananchi wa kawaida walimkubali sana Magufuli na ndio wapigakura siyo hawa wapiga porojo wa kwenye mitandao ya kijamii ambao wengi wao ni waharibu nchi kwa ufisadi, vyeti fake, wauza madawa ambao walidhibitiwa na mwamba Rais Magufuli ndio wenye chuki naye ukiwemo wewe mkuu!!
 
Yaaniii hapo ....ndiooo inapita tu hatuna chetu miaka milele amina
 
Mbona mawasilisho ya Waziri Mbalawa ni Mazuri tu tofauti na yanayoendelea na kusemwa huku mtandaoni? Hakuna baya lolote katika Mkataba huo.
Waropokaji ni wengi sana ili wafae kisiasa
 
Mbona maelezo ni mazuri tu
Unasikiliza maelezo ya waziri au kilichoandikwa kwenye makubaliano? Waziri anaweza kukjpa maelezo mazuri bungeni ili kinachotekelezwa ni kilichokubaliana kwa maandishi
 
Tat
Hadi Magufuli V2.0 apatikane nchi itakuwa imebaki na raslimali magofu tu. Sidhani kama tatizo hili ni kwa sababu ya Samia, bali tatizo linatoka kwa shadow president na cabinet yak
 
Uli
Mbona mawasilisho ya Waziri Mbalawa ni Mazuri tu tofauti na yanayoendelea na kusemwa huku mtandaoni? Hakuna baya lolote katika Mkataba huo.
Tegemea aseme mabaya ya Mkataba..kama unajua Kingreza upo humu we usome!
 
Back
Top Bottom