Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

Ndiyo maana tupo hapa ukumbi wa jamii, lete hoja zako tuzijadili.
 
Wabunge wanaongea kwa tumia HAMASA na kufukuzia TEUZI badala ya kutumia WELEDI
Huku mitaani kuna WASOMI wa kila aina kuliko huko bungeni hivyo lazima wajue kuwa kila wanachoongea na kuchambua watu huku mitaani wanafanyia PERFORMANCE APPAISAL kwa maslahi mapana ya Tanganyika.
 
Isingewezekana kutopitisha azimio..labda sio hawa jamaa wa mashati ya makabichi.
 
Udini umekufanya uwe taahira?
 
Kumbe makaratasi huwa yanaletwa bungeni yakiwa yamesainiwa. Nimesikia mchangiaji mmoja kwamba siku walipoenda kwenye maonyesho walisaini mikataba kadhaa.
 
Makalatasi na vitendo ni vitu viwili tofauti kabisa. Zilongwa zi moja zitendwa zimbili.
 
Reli, mwendokas, mbuga zote, viwanj vyote vya ndege, serikali na walinda legacy wote kuuzwa kwa wamanga!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…